Muungano; Tanzania inaenda zake Wazanzibari wata itamani irudi na haitarudi ng“o

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
744
186
Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala.

Ila kwa viongozi wao ndo ambao wameshindwa kuongoza na ndo wanao idai na kuitaka zanzibar yao yenye mamlaka kamili.

Ushauri wangu kwao wote ni kuwa TANZANIA INAENDA ZAKE MTAIKUMBUKA SANA NA HAITORUDI TENA NG“OOOO.

Karibu rasimu mpya karibu katiba mpya karibu TANZANIA MPYA karibu ZANZIBAR MPYA NA TANGANYIKA MPYA.
 
Sio Tanzania hii, wataikumbuka sana kwa dharau, kejeli, matusi na dhulma walizofanyiwa na Muungano huu. me nataka Tanganyika yetu tuu hayo mengine sina haja nayo.
 
Kuia Dar shurti upite uhamiaji. Wenye ajira Bara watarudishwa Zanzibar wakaanze maisha mapya. Sijui ila naamini wataikumbuka Tanzania na hawatoipata tena.
 
Hivi hamuoni haya watanganyika bonge la nchi bado mnaiwaza nchi ndogo ya watu 1.5mill?hivi mnapata faida gani kuikaba koo wakati kuna manchi makubwa ya kuungana nayo?c muende mkaungane kenya?free z'br from black colon.
 
Mbona pumba nyingi wengine kama walevi!
ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma
Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni
Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again
Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know
Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu
 
wenywe wazanzibar ndio hawataki hivyo kuwa mwenye kuheshimu maamuzi yao kwa nini watanganyika mutuonee huruma hali ya kuwa wenyewe tunaukataa ukoloni wa mtu mwesi
 
Kuia Dar shurti upite uhamiaji. Wenye ajira Bara watarudishwa Zanzibar wakaanze maisha mapya. Sijui ila naamini wataikumbuka Tanzania na hawatoipata tena.

na wenye ajira zanzibar watarudishwa kwao bara, makahaba wote watarudishwa kwao, mabaa tutayatia moto na makanisa yenu mlio.jenga tuyayageuza misikiti na madrasa. duh afadhali tutapata kupumua
tumechoka tafrani
 
Mbona pumba nyingi wengine kama walevi!
ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma
Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni
Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again
Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know
Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu

kungepatikanwa watanganyika km wewe 10 tu mngekua mbali sana kimaendeleo. you are truely great thinker, jtahd kuwaelimisha watakuelewa tu japo ni vgumu kubadilisha ujinga walio nao kuweka werevu utaowapa bt utawaingia na watakukumbuka
 
Thamani ya Mtoto muulize Mgumba, ya Afya muulize mgonjwa, ya Baba muulize Yatima,ya Amani uliza wacongo,ya shibe muulize mwenye Njaa! Happy Birthday my Beloved Tanganyika!
 
tuwakumbukeni kwa lipi la mana, hamna kimpja cha mana zaid ya hasara na kuturudisha nyuma, tuwakumbukeni kw kutuletea ujambazi? vibaka? wamachinga? makanisa? makahaba? mabaa? au wazururaji?
kubwa tutachokikosa kutoka kwenu ni mahouse girl coz itabd tuanze utaratibu wa kuwapata ambao utakua complicated
na house girl wetu tulienae hatumrudish kwanz mwnyew hataki kurud kwao tanganyika tumemsilimisha saiv ameshakua mwenzetu
 
Ni kweli wanzibar hamujiwezi,mdebwedo bai bai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tuwakumbukeni kwa lipi la mana, hamna kimpja cha mana zaid ya hasara na kuturudisha nyuma, tuwakumbukeni kw kutuletea ujambazi? vibaka? wamachinga? makanisa? makahaba? mabaa? au wazururaji?
kubwa tutachokikosa kutoka kwenu ni mahouse girl coz itabd tuanze utaratibu wa kuwapata ambao utakua complicated
na house girl wetu tulienae hatumrudish kwanz mwnyew hataki kurud kwao tanganyika tumemsilimisha saiv ameshakua mwenzetu

i pity u,,mpo 1.6m hadi kamishna wa sensa anawaambia muda si mrefu wanawake wa znz watakosa wanaume wa kuwaoa na mchumi wenu huo wa ajabu,,daah mitaa yenyewe usiseme,,,alafu kiburi kimewajaa
 
Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala.

Ila kwa viongozi wao ndo ambao wameshindwa kuongoza na ndo wanao idai na kuitaka zanzibar yao yenye mamlaka kamili.

Ushauri wangu kwao wote ni kuwa TANZANIA INAENDA ZAKE MTAIKUMBUKA SANA NA HAITORUDI TENA NG"OOOO.
Imekuuma sana wazanzibari kuchukua nchi yao, pole!

Ulipaswa kujua tokea awali kuwa katika Muungano mmojawapo yoyote yule katika washarika anaweza kujitoa! si ndoa ya Kikatoliki (dhehebu la nchi).

Unachotakiwa kufanya ni kujali ya Tanganyika yako, umetaja faida wanazozipata Wazanzibari kwenye Muungano ziko wapi faida zako wewe Mtanganyika katika Muungano? linganisha na hasara unazopata Mtanganyika katika Muungano halafu utuambie ni hasara ndio kubwa au faida?
...wenzako wazanzibari wameishajijua kuwa Muungano ni hasara kwao zaidi kuliko faida.
 
Mbona pumba nyingi wengine kama walevi!
ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma
Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni
Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again
Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know
Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu

Hata utoke povu lazima mrudi kwenu
 
Suala la mamlaka kamili is not negotiable. Like all Zanzibaris i approve this message.
 
Hivi hamuoni haya watanganyika bonge la nchi bado mnaiwaza nchi ndogo ya watu 1.5mill?hivi mnapata faida gani kuikaba koo wakati kuna manchi makubwa ya kuungana nayo?c muende mkaungane kenya?free z'br from black colon.

Teh Teh Teh! wana wakoloni weusi wenzao eti wanaita Muungano!.
 
Mbona pumba nyingi wengine kama walevi! ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu
Umegonga point.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom