Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,296
Mshana Jr lakini si nasikia huyu muuaji alikua anapandishwa kizimbani amefunikwa uso? Je kama ni lijamaa tuu jingine limehukumiwa hicho kifungo haiwezekani?
Wajinga ndo huwa yanawakutaga. Unaambiwa UA....wewe unaua. Mimi huwa nasemaga kuna Leo na kesho. Ukifanya jambo baya hauko salama wala kesho yako si salama vile vile.....umesema vyema mkuuWaanze kujifunza kuwa sio kila amri ni halali
Hutaweza kuifidia thamani ya roho ya mtu katika familia, hata kama utapewa Mlimani CITY MALL.Muuaji anastahili adhabu lakini Kamhanda alistahili adhabu kali zaidi ikiwemo kuifidia familia ya Mwangosi
mshana jr, kwa kweli hapa kuna kitu hakiko sawa.Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha
Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi
Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea
Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?
Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana
Hili ni giza lingine kwenye sheria zetu dhana ya ukweli na uwazi haki na wajibu wa kutenda bila kuegemea upandeMshana Jr lakini si nasikia huyu muuaji alikua anapandishwa kizimbani amefunikwa uso? Je kama ni lijamaa tuu jingine limehukumiwa hicho kifungo haiwezekani?
Hii kesi watu wamepanguliwa mpaka akabaki mmoja aliyefyatua risasi....lakini huko Magerezani kuna wafungwa na mahabusu wengi tuu waliohukumiwa au wanaotuhumiwa kumuua mtu mmojamshana jr, kwa kweli hapa kuna kitu hakiko sawa.
Hii adhabu ni kubwa (kwa kuua bila kukusudia) haswa inapomuangikia mtu moja peke yake katika kundi la watu waliohusika kwa pamoja.
Na inaleta maswali mengi pale boss wake aliyekuwepo kwenye tukio na ambaye Mwangosi alimfia miguuni pake kupandishwa cheo chap chap.
Hapa umetumia kiungo gani kufikiri? umeelewa vzr alichoandika mleta? soma tena kisha uje humuKipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
ahsante sana mkuu kwa kuleta ujumbe kwa njia ya picha.
Sidhani kama hii reply yako inafiti kwenye hii madakweli wabongo wengi ni weupe kichwani.sasa kama mnasema alitumwa na watawala kumuua huyo mwangosi na watawala hao hao ndio wamemhukumu kifungo cha miaka 15 jela..kwani haiqezekani hao watawala mnaosema walimtuma kumuua mwangosi wakampa msamaha wa kifungo chake?mnawakumbuka wauaji wa bridgedia kombe kikwete aliwafanyaje?
Acha kukurupa wewe nani kasema anatetewa Bali wanahoji yule RPC aliyewatuma yuko wapi afu tatizo lako wewe ng`ombe imekatwa mkiaKipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
Tulia, halafu soma tena ujue muktadha wa uzi huu. Sentesi ya mwisho ina maana kubwa sana.Kipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua