Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,728
- 172,005
Mambo ya hapa Tanzania bwana mmmh
Yanatia kichefuchefu, ngoja nilambe ndimu mieKama kuku wa kideri [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji14] [emoji14] [emoji12]
Huyo bwana anakula vinono wakati familia za waathirika wa tukio wanasononeka, wanasota, wanamasikitiko na majonzi yasiyokwisha, yeye yuko raha mustarehe!Muuaji anastahili adhabu lakini Kamhanda alistahili adhabu kali zaidi ikiwemo kuifidia familia ya Mwangosi
Jukwaa JF,Nimeskia yule mpiga picha wa ile picha ya mnato ikionesha kuuwawa kwa Daid mwangosi nae amefariki,sijui kuna ukweli
Acha munkar mpaka akili uiite akiri. Wakumbushe wana jukwaa kila mwanadamu amepangiwa ratiba yake na Mungu.Eti kaonewa....!!! Amekuwa mbwa yeye kusema hana akiri ya jema na baya...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] huyu Mungu tunamsingizia mengi sanaAcha munkar mpaka akili uiite akiri. Wakumbushe wana jukwaa kila mwanadamu amepangiwa ratiba yake na Mungu.
Kuisoma ndio kitu kigumu, John Pombe katika ratiba yake Mungu alimpangia atakuwa Rais wa Jamhuri.
Huyu askari mdogo alipangiwa atakwenda jela either kwa shari au kheri ya mwanadamu hivyo waache mambo yalivyo, kila mtu anabeba mzigo wake.
Watu ni wanafki sana nchi hii. Aliachiwa wakasema na kulaumu sana, amefungwa na bado wanasema. Asante JPM, umepata urais muda muafaka. Ndani ya miaka kumi ijayo naamini wanafki watakuwa wamenyooka na kupungua sana hapa nchiniKipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
Rudia kusoma kwa makini nilichoandika kabla ya kukurupuka kuhukumuWatu ni wanafki sana nchi hii. Aliachiwa wakasema na kulaumu sana, amefungwa na bado wanasema. Asante JPM, umepata urais muda muafaka. Ndani ya miaka kumi ijayo naamini wanafki watakuwa wamenyooka na kupungua sana hapa nchini
Na Dj aliuza chama, ila aliyekuwepo kwenye tukio katibu mkuu aliona thamani ya wale wote waliokufa ktk harakati hawezi kusaliti hivyo chama kilipouzwa alijiondoa kuwaenzi waliopoteza maisha, ila Dj aliwafanya mtaji akawauza wote. Kwa msioelewa kituko alichokifanya Dj cha kuuza chama ni kibaya sana, ulizia South Sudan kinavyowatesa, wao wanaita "kununua uaminifu". Ila kwa kuwa nchi yetu demokrasia imekomaa na sasa tunafuata sheria, na ndiyo maana Dj na genge lake mamvi hawatakuja kushika dola nchi hii na kibaya zaidi watakufa bila kuona hicho walichotamani kukiona na vizazi vyao vitakuja kuomba msamaha kwa watanzania.Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha
Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi
Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea
Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?
Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana
Mudawote nimegundua una tatizo moja kubwa sana..kutuhumu bila ithibati zozoteNa Dj aliuza chama, ila aliyekuwepo kwenye tukio katibu mkuu aliona thamani ya wale wote waliokufa ktk harakati hawezi kusaliti hivyo chama kilipouzwa alijiondoa kuwaenzi waliopoteza maisha, ila Dj aliwafanya mtaji akawauza wote. Kwa msioelewa kituko alichokifanya Dj cha kuuza chama ni kibaya sana, ulizia South Sudan kinavyowatesa, wao wanaita "kununua uaminifu". Ila kwa kuwa nchi yetu demokrasia imekomaa na sasa tunafuata sheria, na ndiyo maana Dj na genge lake mamvi hawatakuja kushika dola nchi hii na kibaya zaidi watakufa bila kuona hicho walichotamani kukiona na vizazi vyao vitakuja kuomba msamaha kwa watanzania.
Ata mimi nafikiria hivyoo hukumu sio tatizo tatizo imani ya mfungwa kufungwa kutumikia kweli kifungo? Uko kufichwa sura kunamaanisha nini? Na asipo tumikia kwa kufanyiwa maujanja tutakuwa na kumbukumbu nae tukimuona mtaani tunakunywa nae kahawa? Mwisho sheria inasemaje kufichwa kwa sura mtuhumiwa? Nawaza tu!mshana huyu polisi hii hukumu ni hewa kwanza alifichwa sura yake tangu kesi inaanza mpaka siku ya hukumu,kesi ya nyani kumpelekea ngedere!!!so navile sura yake haijulikani kwa watanzania atakaa gerezani muda kidogo watasema anahamishwa gereza kumbe ndio anaenda kuanza maisha mapya huko rulenge ngara kijiji cha kibirizi,au mtimbilimbi kama raia,utamuona wapi
Khasante mshana jr umeelewekaNdimu zinakausha damu tafuta mbilimbi
mshana jr amefikiria nje ya box!Kipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua