Muuaji wa Mwangosi na kafara za kisiasa

Muuaji wa Mwangosi na kafara za kisiasa

Mkuu Mshana Jr leo unageuka upande wa kumtetea MUUAJI??
Mimi nilivyokuwa naanza kuisoma thread yako nikajua unamzungumzia marehemu Mwangosi.
Yule kijana alitumwa na mamlaka halali ila waliomtuma walipandishwa vyeo...nimemwelewa vizuri sana mshana.
 
Kipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
Sidhani kama umeelewa alichokisema mtoa mada, jaribu kurudia tena kwa umakini, utagundua hamaanishi unachokisema, ni vizuri kabla haujachangia uilewe maada.
 
Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha

Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi

Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea

Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?

Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana
Mkuu pamoja na yote hayo huyo dogo naye kama mtu mwenye akili timamu alipaswa kujiongeza..,
Katika tukio kama lile na mazingira jinsi yalivyokuwa siku hiyo pamoja na kuwa alikuwa akitekeleza amri kutoka kwa wakubwa wake, sidhani kama hao mabosi wake ndo waliomtuma au kumuamrisha kufanya huo unyama alioufanya.. na ndo maana pengine imekuwa vigumu kuwaunganisha kwenye kesi kama washtakiwa sababu pengine wangeweza kujitetea kwa urahisi tu, Inavyoelekea huyo jamaa kama alikuwa na tabia ya kiherehere hivi kama walivyo baadhi ya maaskari wa kutuliza ghasia.
 
Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha

Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi

Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea

Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?

Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana
Mchana Inaonekana umezaliwa ili ukosoe kila kitu upande wa serikali,...
 
Mkuu, Wengi hawaelewi ulichokizungumza, matokeo yake wanajibu sivyo, inaonesha namna gani? miongoni mwetu hatupiti mada vizuri na kuielewa kabla ya kuchangia
Na ndio maana nimekuwa mpole kwao nakuwaomba warudie kusoma kwa kutulia watapata maana halisi
 
Hata kama askari walipewa maagizo ya kuchukua uhai wa mareheemu Daud!sidhani kama ilikua watekeleze kwenye mazingira ya wazi kiasi kile

Nadhani kuna mapungufu ya kiutendaji kama si utekelezaji wa maagizo kutoka kwa askari husika,wangaliweza kumfloatisha nakisha kwenda kuchukua uhai wake sehemu yenye usiri.

Askari wengi Wana matatizo lakini yule aliyefumua tumbo la Mwangosi hastahili kuishi.
 
hata wewe,ndo maana umeishia kusema haya.jadili hoja tueleweshwe sisi ******
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
kwanza kahurumiwa,na huko usikute anaenda kulawiti wafungwa.auwawe tuu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Ata mimi nafikiria hivyoo hukumu sio tatizo tatizo imani ya mfungwa kufungwa kutumikia kweli kifungo? Uko kufichwa sura kunamaanisha nini? Na asipo tumikia kwa kufanyiwa maujanja tutakuwa na kumbukumbu nae tukimuona mtaani tunakunywa nae kahawa? Mwisho sheria inasemaje kufichwa kwa sura mtuhumiwa? Nawaza tu!
nchii wananchi huonekaa wajinga tunadanganywa kama watoto wadogo
 
Back
Top Bottom