Muuaji wa Mwangosi na kafara za kisiasa

Muuaji wa Mwangosi na kafara za kisiasa

Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha
Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi
Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea
Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?
Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana
Nakubaliana na wewe visas vinakua na historia ndefu sana, fikiria watoto WA Mwangos, watoto WA huyu aliyefungwa miaka 15 half watoa amri wanakula bata mtaan.
 
Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha
Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi
Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea
Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?
Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana
mshana huyu polisi hii hukumu ni hewa kwanza alifichwa sura yake tangu kesi inaanza mpaka siku ya hukumu,kesi ya nyani kumpelekea ngedere!!!so navile sura yake haijulikani kwa watanzania atakaa gerezani muda kidogo watasema anahamishwa gereza kumbe ndio anaenda kuanza maisha mapya huko rulenge ngara kijiji cha kibirizi,au mtimbilimbi kama raia,utamuona wapi
 
Kijana mdogo aliyekuwa anaanza maisha yake akiwa na matumani na ndoto nyingi za kimaisha
Mke mzuri watoto wanaomjua Mungu nyumba gari na mali nyingine
Kwenye harakati hizo za kuyatafuta haya anaingia kwenye kazi ya upolisi, inawezekana kabisa halikuwa chaguo lake lakini ugumu wa ajira na njia ya kutimiza ndoto zake anakuwa hana jinsi
Misuguano ya kisiasa , utawala usio zingatia sheria kulindana, Ubabe wa mamlaka, kukosa weledi na amri za kukurupuka, visasi na rohombaya vimesabibisha
.Mauaji ya kijana mwanataaluma, baba wa familia
.Yatima
.Ujane
.Nguvu kazi ya Taifa kupotea
Lakini pia kwa maumivu mengi yenye kuumiza hisia yamemsababishia kijana aliyetekeleza mauaji kifungo cha miaka 15 jela ukiacha 4 ya kukaa mahabusu...Je kuna aliyeyakumbuka maumivu yake haya?
Wote waliomsababishia haya wako mtaani wanapeta huku wengine wakipandishwa vyeo[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] YANI MIMI NIENDE JELA HALAFU WEWE UPANDE CHEO?
Visasi huwa na historia ndefu sana

Ni kweli kabisa Mshana Jr ulichokiandika.... nilihoji hata mimi lkn nilikosa majibu. Intelijensia ya polisi inapofanyakazi zake za uchunguzi kwenye uhalifu wowote itahakikisha wahusika wote waliohusika wanapandishwa kizimbani. Katika picha ya mauti ya marehemu Mwangosi wapo askari wamemzunguka na wote wakionekana kuwa na hulka ya kumshambulia marehemu na wala si kumuokoa.... bado aliyetoa amri ya raia wema kupigwa kisa itikadi za kisiasa. Hapa ndipo na amini haki kwa nchi zetu bado sana watu bado wanaipapasa haki na sio kuitenda haki.
 
Kipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
Mtoa hoja hajasema muuaji asipewe adhabu ila waliotoa amri naye alistahil kuchukuliwa hatua. Soma uelewe kabla hujacomment
 
Kipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
Ujumbe wa mshana jr upo kwenye aya ya mwisho yenye maneno machache yenye herufi kubwa. Think big.
Mkuu Mshana Jr leo unageuka upande wa kumtetea MUUAJI??

Mimi nilivyokuwa naanza kuisoma thread yako nikajua unamzungumzia marehemu Mwangosi.
 
Hii kesi hata sikuielewa...Yaani ndio kesi pekee ambapo hakuna hata mtu mmoja anayemjuwa huyo mtuhumiwa kwa jina na sura.Yaani hata humu JF hakuna mtu anayelijuwa hilo jina la "Kilatini" iwe kwa kusoma shule ya msingi,Elimu ya Upili au kutoka nae kijiji kimoja.

Huyu jamaa hafahamiki na si ajabu akawa "Mtuhumiwa hewa"....Hata Google tu jina lake halipo,mtu aliyemaliza Elimu ya Upili kwa kitado cha Nne mwaka 2010 hata Google matokeo yake hayapo??Hebu mwenye kumfahamu hata huko kwao Ngara
 
Tena ana bahati angefungwa maisha au kuhukumiwa kifo kabisa
 
Kipindi huyu kijana amekamatwa mlisimama kidete, achukuliwe hatua kali, Leo mnajifnya na HURUMA nae. Mngeazisha thread za huruma kipindi kile, kipindi mlileta picha za ushaid ili achukuliwe hatua
Hadharus kuwa mwelewa. Unachanganya mambo.
 
Bado ukweli kamili haujulikani kwani kuna uwezekano mkubwa huyo mtuhumiwa asimalize hiyo miaka akatolewa kimyakimya kwani alifanya hilo tukio kwa maslai ya tabaka tawala, mi nadhani kikubwa kilichotakiwa kufanyika ni kuangalia namna gani serikali ingeisaidia familia ya marehemu ikiwemo kuhakikisha wanapata elimu bora au mtaji mzuri utakaowawezesha kufanya ujasiliamali ili kukidhi matumizi yao katika maisha ya kila siku.
 
Hii kesi hata sikuielewa...Yaani ndio kesi pekee ambapo hakuna hata mtu mmoja anayemjuwa huyo mtuhumiwa kwa jina na sura.Yaani hata humu JF hakuna mtu anayelijuwa hilo jina la "Kilatini" iwe kwa kusoma shule ya msingi,Elimu ya Upili au kutoka nae kijiji kimoja.

Huyu jamaa hafahamiki na si ajabu akawa "Mtuhumiwa hewa"....Hata Google tu jina lake halipo,mtu aliyemaliza Elimu ya Upili kwa kitado cha Nne mwaka 2010 hata Google matokeo yake hayapo??Hebu mwenye kumfahamu hata huko kwao Ngara
1469684446994.jpg
ngumu mno kuitambua hii sura
1469684464157.jpg
 
wamemficha ficha sura ata akirudi mtaani huez kumshtukia..
 
Nashindwa kuelewa kwanini hakuhukumiwa kifo.
Hati ya mashtaka ilikuja kugeuzwa na kuwa mauaji bila kukusudia...mashtaka ya namna hii adhabu yake haina hukumu ya kifo
Lakini sidhani kama kumuelekezea mtu silaha iliyoko full loaded halafu ukafyatua risasi zikampata uliyemlenga ni bahati mbaya
 
Asante Mshana.
 
Huyu mtuhumiwa inawezekana kesha achiwa huru toka jana. Hakuna mtu anayemfahamu kwa sura pia hata kwa majina kamili, hivyo hata ukimkuta njiani au mkawa mnafanya kazi wote huwezi mtambua. Ni strategy kali sana ilitumika.
 
Unaambiwa liwe fundisho kwa wenzie, kwamba hakuna aliye juu ya sheria, huwa nasikiktika sana ninaposikia "kwa amri halali ". Kuna wakati najikuta nawalaumu "ADAM & HAWA" lakini pia huwa nawashangaa hawa vijana "polisi" wanapovaa sare huwa wanajitoa ufahamu kabisa. Mwenye akili timamu atakuelewa Mshana jr. Kwa hili sifiki mwisho katika kutafakali.
 
Hati ya mashtaka ilikuja kugeuzwa na kuwa mauaji bila kukusudia...mashtaka ya namna hii adhabu yake haina hukumu ya kifo
Lakini sidhani kama kumuelekezea mtu silaha iliyoko full loaded halafu ukafyatua risasi zikampata uliyemlenga ni bahati mbaya
Hii ndio raha ya sheria inaweza kumuweka mtu pale kisha mwengine ikampeleka kule. Ukisema wewe inakugonga na gari langu ikatokea bahati mbaya ajali ukamgonga kaka wewe unaenda kubaya umekusudia. Lakini ikiwa huyo mtu humjui mmekuta katika pilika za majukumu yasiofanana wewe unataka hiki yeye anataka kile una silaha ukasema ngoja nimfanyie kweli hiyo sheria inakupeleka huku. NDIO SHE RI A. haya
 
Back
Top Bottom