majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Unaelewa maana ya unafiki?Utaacha lini unafiki??? Au imataka ku-achieve nini?
Wasira unayaona hayo? Usichezee nguvu ya umma! Aibu kwa wabunge wa CCM.
Umewakandia walivyoitisha kikao jangwani leo unawashabikia? Leo imekuwaje umetoa wazo nzuri?Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Mtu akiangalia haraka atafikiri umetumia hekima kumbe umesoma game ukagundua ccm will never win this. Teh teh
heh na wewe pia
Wadau, changieni mtakavyochangia, lakini mjue kuwa CHUMBA CHA SIRI ni CHRIS LUKOS. M sipoteze muda wenu kwa mambo ya Lukos, yupo jamvini anacheka sana hadi mbavu na taya vinauma!!! Chris acha ujinga huu, tuna mambo mengi ya kutafakari- Westgate, madawa ya kulevya na kipindi hiki tunaanza kutayarisha mashamba. Wanajf tusihadaike, hayatokei namna hiyo!!
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Mkuu una watoto?
Kama una watoto basi wafikirie wao kwanza then ndio utajua umuhimu wa katiba kuamuliwa na watanzania, sio watu wa upande mmoja.
Mimi mwenyewe huu mchakato wa katiba unanigusa kwa aslimia 100%
Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI, Nimezaliwa Mbeya nimekulia Iringa, Kabila langu mhehe wa Kalenga Iringa.
HEBU NIAMBIE UNA JEURI GANI YA KUNIITA FOREIGNER,
NENE MWALUKOSI WA KUKALENGA NDINA FITINDI FYA ULASI FYOLOFU HIILO!
Leo hii ninapofika airport ninakuwa treated kama foreigner wakati ukumbuke mimi ni ex police wa Tanzania na wazazi wangu wote ni watanzania na wako Tanzania.
Huo ni mfano tu wa yanayotuhusu kwenye katiba bila kusahau suala la mgombea binafsi nk.
Ili kupunguza rushwa kwenye chaguzi zetu na kusaidia kuchagua viongozi watakaotufaa inabidi mgombea binafsi aruhusiwe. Hii itasaidia sana kama mtu akipigwa zengwe kwenye chama chake basi anakwenda gombea kama mgombea binafsi inabaki kuwa kazi ya wananchi kuamua
Yako mengi lakini siwezi andika yote