Muswada kurudishwa bungeni

Muswada kurudishwa bungeni

Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Chris Lukos!

Now you are talking...! Against all odds umeamua kuficha pumba uvunguni.
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni kujipa matumaini nyie wagonjwa ili Daktari akija awape dawa ya kusogeza siku.
Hivi hata akili hamna mnaanza kujadili na kujipa ushindi kwa habari za udaku?
Rais hayupo..
Waziri Mkuu yuko Kanda ya Kaskazini kwa ziara.....
Wassira yuko jimboni kwake kwa ziara ....
Katibu wa Chama dume yuko ziara akiwa na Nape Mkoa wa Mara....
Makamu wa Rais yuko Ofisini kwa shughuli za Kiserikali......
Chikawe na AG wana majukumu ya Kitaifa wako busy na mambo mengine kabisa..
Hayo mumeyatoa wapi?
Kweli nyie ni Mbulalists.
Wote uliowataja hapa ni VIAZI ambao hawana say juu ya katiba yetu..uwezo wao kwanza ni mdogo bora hata vilaza LUSINDE,NKUMBA NA NKAMIA.
 
Mkuu,

Huu mtindo mpya wa wakuwaibia watanzania. Hata hivyo sifa ziwaendee vyama vya upinzani kuwa jasiri na wazalendo. Kuna haja ya kutoa adhabu kali kwa naibu spika na baadhi ya wabunge/ mawaziri kwa upuuzi/ uendawazimu wanaotufanyia. Lazima haya yawe na mwisho

Kwa maana hiyo, vipi kuhusu zile kesi za kutoana nje, kudhalilishana n.k nazo zitakuwa invalid? maana picha ninayoipata inanipelekea kufikiri kuwa maamuzi yoyote ya wakati wa kikao kile sio valid basi!! mimi nachanganyikiwa kwa kweli na bunge la sasa
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Bila shaka umeandika kwa kuushirikisha ubongo, nitakusoma tena baadae utakapo anza kuandika kwa tumia sembe huku ukiwa na taswira ya masogange kichwani.
 
Cross-site Scripting may have been used to access your account; you are well advised to change your password to mitigate your account's vulnerability.

Mkuu umefanya nicheke sana. Naamini na wewe hukutegemea kumsoma ex-policekinamna ile.
 
Wabunge wa CCM wanajiskiaje mswada kurudishwa? walivyo wazito kuelewa ukweli wsi ajabu wakawa wanaona ni normal tuu.
 
Mbona hukumshauri haya Job na Lukuvi? kuna muda una busara!!

Mnafiki tu, sasa unafikiri atakuja kuaminika tena ktk jamii? Kila ataloongea basi itajulikana ni propaganda tupu
 
Kama ikiwa kweli, basi wabunge wa CCM wanastahili kuitwa MaCCM!
 
naamini Kikwete atakua msikivu juu ya hili,kwani katiba ni yetu wote ni muhimu watu wote tukubaliane na utaratibu utakaotumika kupata katiba hiyo
Hata Bongolala katambua hilo, Duhhh. Au ni jina tu.
 
marekebisho , mjadala wa muswada mwisho mara ngapi kabla rais hajusaini? hapa Rais anaweza akausaini kulinda serikali yake na Bunge, ngoja tupambane tuone mwisho wake ni nini.
 



quote_icon.png
By sailor1
Endeleeni kujipa matumaini nyie wagonjwa ili Daktari akija awape dawa ya kusogeza siku.
Hivi hata akili hamna mnaanza kujadili na kujipa ushindi kwa habari za udaku?
Rais hayupo..
Waziri Mkuu yuko Kanda ya Kaskazini kwa ziara.....
Wassira yuko jimboni kwake kwa ziara ....
Katibu wa Chama dume yuko ziara akiwa na Nape Mkoa wa Mara....
Makamu wa Rais yuko Ofisini kwa shughuli za Kiserikali......
Chikawe na AG wana majukumu ya Kitaifa wako busy na mambo mengine kabisa..
Hayo mumeyatoa wapi?
Kweli nyie ni Mbulalists.



JE SHIGHULI ZA SERIKALI ZIMESIMAMA KWA SABABU WOTE WAKO NJE YA DAR?
 
Inawezekana huu ndio mtindo mpya wa kutunga sheria sasa unaofanywa na Bunge; huu utakuwa mswada wa ngapi wa sheria kulazimishwa kurudishwa Bungeni kabla hata haujaanza kutumika?
and what should have been the alternative?
 
Mkuu una watoto?

Kama una watoto basi wafikirie wao kwanza then ndio utajua umuhimu wa katiba kuamuliwa na watanzania, sio watu wa upande mmoja.

Mimi mwenyewe huu mchakato wa katiba unanigusa kwa aslimia 100%

Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI, Nimezaliwa Mbeya nimekulia Iringa, Kabila langu mhehe wa Kalenga Iringa.

HEBU NIAMBIE UNA JEURI GANI YA KUNIITA FOREIGNER,

NENE MWALUKOSI WA KUKALENGA NDINA FITINDI FYA ULASI FYOLOFU HIILO!

Leo hii ninapofika airport ninakuwa treated kama foreigner wakati ukumbuke mimi ni ex police wa Tanzania na wazazi wangu wote ni watanzania na wako Tanzania.

Huo ni mfano tu wa yanayotuhusu kwenye katiba bila kusahau suala la mgombea binafsi nk.

Ili kupunguza rushwa kwenye chaguzi zetu na kusaidia kuchagua viongozi watakaotufaa inabidi mgombea binafsi aruhusiwe. Hii itasaidia sana kama mtu akipigwa zengwe kwenye chama chake basi anakwenda gombea kama mgombea binafsi inabaki kuwa kazi ya wananchi kuamua

Yako mengi lakini siwezi andika yote
kwa mara ya kwanza nakupa like!
 
Watanzania tunataka katiba ya taifa letu ili watoto na wajukuu zetu wajivunie kutangulia kwetu kuishi hapa TZ. Hatutaki katiba za vyama vya siasa kwani uamuzi wa kuwa mwanachama upo kwenye ubinafsi wa mtu. Tafadhali mnaofikiri kulindwa na katiba yetu mtasubiri sana kwani bora kufa shujaa kuliko kuishi mbumbumbu na mjinga wa fikra. Tunataka katiba ya Taifa la TANZANIA na hatutaki kupangiwa katiba yetu iweje zaidi ya maoni yetu.
 
Back
Top Bottom