Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Big Up.You are the great.
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Huyu ni chumba cha siri. Ww unataka source.Kama sio kweli basi credibility ya mleta hoja itakuwa mashakani hapa JF. Hii ya katiba kitu ya kufanyia mzaha hata kidogo.
Kwan hao CCM 280 walioupitisha wanatokea jimbo 1?kuwa mpinzan sio kupinga kila kinachokuja mbele yako,waTz tupo tayar kupiga kura pindi katiba itakapokuwa tayari,,,,,,,JK karbu nchin umwage wino achana na hawa walala hoi walioko JF kaz kufuka tu wakat wakijijua wapo butu.
Cc...kwa wote wenye kukashfu hatua za serkli tukufu ya CCM
wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Hakukuwa na kikao mkuu tusipotezeane mda tafadhari mleta topic jana alitudanganya sana tu.kikao ambacho kimekalijana kilikuwa kikao cha siri ambacho kilishirikisha baadhi wa wabunge wa ccm kutoka unguja na baadhi ya walio shindwa kwenye uchaguzi wa 2010 kutoka pemba. Na ndio wameishauri kamati maalumu ya kumshauri rais juu ya hili.
Chumba cha siri tadhali weka hii juu pale maana Mgonjwa kapona!Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Aha!Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Ni kosa la nani???Inawezekana huu ndio mtindo mpya wa kutunga sheria sasa unaofanywa na Bunge; huu utakuwa mswada wa ngapi wa sheria kulazimishwa kurudishwa Bungeni kabla hata haujaanza kutumika?
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.
Kama ni kweli itakuwa vizuri.
They should learn to respect the so called ordinary people of this country
Mwisho wa ubaya aibu!
kikao ambacho kimekalijana kilikuwa kikao cha siri ambacho kilishirikisha baadhi wa wabunge wa ccm kutoka unguja na baadhi ya walio shindwa kwenye uchaguzi wa 2010 kutoka pemba. Na ndio wameishauri kamati maalumu ya kumshauri rais juu ya hili.
wabunge warudishe posho walizolipwa kwa upuuzi huu wa kupitisha kibabe huo mswada hata hivyo habari haina source hivyo liwalo na liwe.
Wasira unayaona hayo? Usichezee nguvu ya umma! Aibu kwa wabunge wa CCM.
naamini Kikwete atakua msikivu juu ya hili,kwani katiba ni yetu wote ni muhimu watu wote tukubaliane na utaratibu utakaotumika kupata katiba hiyo
Inawezekana huu ndio mtindo mpya wa kutunga sheria sasa unaofanywa na Bunge; huu utakuwa mswada wa ngapi wa sheria kulazimishwa kurudishwa Bungeni kabla hata haujaanza kutumika?