majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
I can't believe if you were the one who wrote this post. Nahisi kama vile uliingia JF kisha ukatoka kidogo ukaacha Computer yako bila ku-log out kisha kuna mtu akaandika na kupost huo ujumbe, ikiwa ni wewe mwenyewe ulieandika, naweza kuamini kuwa ikitokea maiti akivalishwa viatu vya matairi anaweza kutembea.