Muswada kurudishwa bungeni

Muswada kurudishwa bungeni

Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Mdogo wangu Chris Lukosi, nakiri kuna wakati sikuelewi kabisaaa...hebu fikiria wakati ndugu zako Watanzania unapowaita misukule kwa sababu tu mnatofautiana kimawazo kiitikadi! Niliwahi kukupa ushauri kufikiria mara mbili kabla hujakurupuka humu jamvini kwani wengi unaojibizana nao huwajui ingawa wao wanakujua! Hukutaka kusikia. Kwa mfano nanukuu;
Tarehe 15/6/2013 - Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, kesho ndio uchaguzi wa madiwani sehemu mbali mbali nchini, sote tunajua CCM watafunika viti vyote Mbeya na sehemu nyinginezo. Lakini kuna sehemu moja tu ambayo nina uhakika matokeo yakitoka makamanda wanaweza kuzimia.

Nimefuatilia kampeni na mikutano ya Mheshimiwa Mwigulu Nchemba na Nape na nimewaonea huruma sana makamanda kwani wameonyeshwa tofauti kati ya Chuma na plastiki.

Nawaomba watu wa msalaba mwekundu wawe standby kesho kuhakikisha wanawasaidia makamanda watakaozidiwa baada ya vipimo kutoka kwa daktari ambaye ni sanduku la kupigia kura. CCM ushindi ni uhakika kesho 16/03/2013
Nilikuwa na hakika kabisa kwamba baada ya matokeo kutangazwa siku ya pili, ungechukua time out kidogo ukatafakari msimamo wako na kauli zako...tofauti yako na wana jamvi wengi ni kuwa unao ndugu wa karibu, marafiki na washikaji wanaokusoma na kwa kweli unawasononesha. Hebu fikiria na hii, nanukuu;
Tarehe 20/9/2013 - Ndugu zanguni, Nasikia kuna watu bado wanataka kufanya mkutano wa hadjhara kesho wakati serikali imepiga marufuku.

Mimi ningependa kuwashauri tu ndugu zangu makamanda kuwa hata kama wakiwapa viroba vya kumwaga, chonde chonde msiende kwenye huo mkutano kesho kwani maumivu ya virungu hayaponi haraka na pia msisahau kuwa mkitupwa jela kwa kuvunja amani basi watakaopata tabu ni familia zenu wakati hao wanaowatuma watakuwa wanakula bata wakiwacheki kwenye TV.

JHebu fikiria kesho jioni wanao wanakusubiri nyumbani halafu mpaka jua limetua hujarudi. Hamuoni ni kuwatia huzuni watoto? Au mnapenda kuja kutembelewa mkiwa sero?
Unaona sasa? Halafu leo unaona matunda ya harakati za wapigania haki, wewe huyo eti huyoo unatoa pongezi! Chris Lukosi, ukiona vyaelea vimeundwa! Unakula kivulini kwa sababu tu kuna watu wamehangaika juani ingawaje kwako ni misukule. Grow up kid and congratulations for coming down back to earth and now let's all join hands and together we confront the problems that haunt us day and night...ni ushauri tu!
 
wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
kumbe siku mojamoja na wewe mganga njaa wa uk huwa unatulia na kuifanya akili ifanye kazi yake na sio kama siku nyingine unawaza ukuu wa wilaya .
 
Mdogo wangu Chris Lukosi, nakiri kuna wakati sikuelewi kabisaaa...hebu fikiria wakati ndugu zako Watanzania unapowaita misukule kwa sababu tu mnatofautiana kimawazo kiitikadi! Niliwahi kukupa ushauri kufikiria mara mbili kabla hujakurupuka humu jamvini kwani wengi unaojibizana nao huwajui ingawa wao wanakujua! Hukutaka kusikia. Kwa mfano nanukuu;

Nilikuwa na hakika kabisa kwamba baada ya matokeo kutangazwa siku ya pili, ungechukua time out kidogo ukatafakari msimamo wako na kauli zako...tofauti yako na wana jamvi wengi ni kuwa unao ndugu wa karibu, marafiki na washikaji wanaokusoma na kwa kweli unawasononesha. Hebu fikiria na hii, nanukuu;

Unaona sasa? Halafu leo unaona matunda ya harakati za wapigania haki, wewe huyo eti huyoo unatoa pongezi! Chris Lukosi, ukiona vyaelea vimeundwa! Unakula kivulini kwa sababu tu kuna watu wamehangaika juani ingawaje kwako ni misukule. Grow up kid and congratulations for coming down back to earth and now let's all join hands and together we confront the problems that haunt us day and night...ni ushauri tu!
mkuu you have dugdeeper.kudos
 
Sio rahisi... Hata kama Kikwete atakuwa na nia hiyo, Pinda, Ndugai, Makinda, Wasira na Lukuvi "hawataruhusu"...
 
Mkuu una watoto? Kama una watoto basi wafikirie wao kwanza then ndio utajua umuhimu wa katiba kuamuliwa na watanzania, sio watu wa upande mmoja. Mimi mwenyewe huu mchakato wa katiba unanigusa kwa aslimia 100% Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI, Nimezaliwa Mbeya nimekulia Iringa, Kabila langu mhehe wa Kalenga Iringa. HEBU NIAMBIE UNA JEURI GANI YA KUNIITA FOREIGNER, NENE MWALUKOSI WA KUKALENGA NDINA FITINDI FYA ULASI FYOLOFU HIILO! Leo hii ninapofika airport ninakuwa treated kama foreigner wakati ukumbuke mimi ni ex police wa Tanzania na wazazi wangu wote ni watanzania na wako Tanzania. Huo ni mfano tu wa yanayotuhusu kwenye katiba bila kusahau suala la mgombea binafsi nk. Ili kupunguza rushwa kwenye chaguzi zetu na kusaidia kuchagua viongozi watakaotufaa inabidi mgombea binafsi aruhusiwe. Hii itasaidia sana kama mtu akipigwa zengwe kwenye chama chake basi anakwenda gombea kama mgombea binafsi inabaki kuwa kazi ya wananchi kuamua Yako mengi lakini siwezi andika yote[/QUOTE Who? Chris? KWELI MUNGU NI MWEMA, tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu! Amen!
 
Nimejiskia aman na furaha sna kuskia habarí njema kama hii thread.. Jk atajijengea heshima kama atawapatia watanzania katiba waitakayo watanzania na syo watawala..watawala wana ajenda zao za siri na wanangalia their short term benefit or intrest.. Katiba na ya watanzania wote na tunataka katiba itakayoendana na wakati na kwa faida ya vizazi vijavyo..

Ukweli upo wazi kuwa KATIBA MPYA sio SERA wala HOJA ya MACCM, na ndio maana wanaikwamisha, na kama utakumbuka hata mwanzo walipinga sana hao mawaziri wake pamoja na Viongozi wa Chama chake, Ila yeye akaamua kuwa LIWALO na LIWE, na MCHAKATO ukaanza.
 
Endeleeni kujipa matumaini nyie wagonjwa ili Daktari akija awape dawa ya kusogeza siku.
Hivi hata akili hamna mnaanza kujadili na kujipa ushindi kwa habari za udaku?
Rais hayupo..
Waziri Mkuu yuko Kanda ya Kaskazini kwa ziara.....
Wassira yuko jimboni kwake kwa ziara ....
Katibu wa Chama dume yuko ziara akiwa na Nape Mkoa wa Mara....
Makamu wa Rais yuko Ofisini kwa shughuli za Kiserikali......
Chikawe na AG wana majukumu ya Kitaifa wako busy na mambo mengine kabisa..
Hayo mumeyatoa wapi?
Kweli nyie ni Mbulalists.

Wewe uko dunia ya wapi siku hizi kuna mambo ya teleconference.vipi weyeeeee, achana na maisha ya kukariri be practical
 
Mdogo wangu Chris Lukosi, nakiri kuna wakati sikuelewi kabisaaa...hebu fikiria wakati ndugu zako Watanzania unapowaita misukule kwa sababu tu mnatofautiana kimawazo kiitikadi! Niliwahi kukupa ushauri kufikiria mara mbili kabla hujakurupuka humu jamvini kwani wengi unaojibizana nao huwajui ingawa wao wanakujua! Hukutaka kusikia. Kwa mfano nanukuu;

Nilikuwa na hakika kabisa kwamba baada ya matokeo kutangazwa siku ya pili, ungechukua time out kidogo ukatafakari msimamo wako na kauli zako...tofauti yako na wana jamvi wengi ni kuwa unao ndugu wa karibu, marafiki na washikaji wanaokusoma na kwa kweli unawasononesha. Hebu fikiria na hii, nanukuu;

Unaona sasa? Halafu leo unaona matunda ya harakati za wapigania haki, wewe huyo eti huyoo unatoa pongezi! Chris Lukosi, ukiona vyaelea vimeundwa! Unakula kivulini kwa sababu tu kuna watu wamehangaika juani ingawaje kwako ni misukule. Grow up kid and congratulations for coming down back to earth and now let's all join hands and together we confront the problems that haunt us day and night...ni ushauri tu!

safi sana kaka ushauri mzuri kwa watu wanaojitoa ufahamu makusudi kwa ajili ya maslahi yao binafsi kama huyu jamaa
 
Inatia moyo
Ila tuendelee na mazoezi ya viungo tu!!!
:msela::msela::msela::msela:
 
Sio rahisi... Hata kama Kikwete atakuwa na nia hiyo, Pinda, Ndugai, Makinda, Wasira na Lukuvi "hawataruhusu"...
Who is the boss then, au tunatawaliwa ki-kambare, kila anayechomoza ana sharubu!
 
mkuu post yako nimeipenda leo umefikiri kidogo. lakini hii inapingana na michango yako mingine kwenye post nyingine
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
 
Back
Top Bottom