Muswada kurudishwa bungeni

Muswada kurudishwa bungeni

muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.


Kama hii hoja ni ya ukweli, basi JK anastahili pongezi. Na katika hili alikua na haki ya kusaini ule mkataba wa uwazi waliosaini huko NY.
Katiba ni ya Watanzania, sio ya Chama chochote! Inatakiwa busara ya hali ya juu hasa tunapoamua mambo yenye kuhusu Watanzania.
Heko JK, kwa hili unastaili pongezi kwa kuweka maslahi ya Watanzania mbele. Na umekuwa wise kuliko waliokua wanashadadia usaini kwa maslahi yao.
Akina Mathias Chikawe na wenzake waliokua wanashinikiza usaini watambue kwamba katiba ni yetu watanzania na wala sio ya kikundi chao cha ngoma na maigizo.
Wapinzani nanyi msijisifu kuwa mmeshinda na kudharau wenzenu! Kumbukeni tunaijenga Tanzania itakayokuwa salama kwa sisi tuliopo leo na watakaokuja baadae. Katika hili maelewano ni ya muhimu sana coz we can differ in our interests but still we are friends.
 
Wabunge wanaostahili kulipwa kwenye bunge hilo la kurekebisha mswada ni wapinzani tu, wabunge wa ccm wajilipe wenyewe maana wamesaliti umma na kujiwakilisha wenyewe!
 
kama itakuwa kweli,ni mwanzo nzuri ila wabunge wajifunze kuacha vyama vyao na kusimamia maslahi ya Taifa
 
sasa wasira yale maneno aliyosema ni yake au alitumwa na na ndugai
 
Tatizo ndugu zangu mnbazani upinzani ni kupinga kila kitu.

Mimi naunga mkono katiba ijadiliwe upya na wapinzani wasikilizwe mnashangaa, au mnazani kuwa chama tofauti ndio mtu apingane na wengine hata kama unaona kabisa kinachosemwa ni kwa faida ya wote?
 
Full umbea na udaku.....haturudi nyuma kamwe na akirudi toka US anasign. No retreat no surrender. Endeleeni kuoana huko Zanzibar maana nasikia mnalala kitanda kimoja

Tunafahamu kuwa umekuwa unaendekeza tabia ya kulalwa kwahiyo si ajabu kuja hapa kujitangaza na hiyo tabia yako chafu ya kujilengesha kwa vidume!
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Nilidhani mtu anaye ishi Ulaya anajua thamani ya muda na pesa kumbe bure tu, watu wamechukua pesa za kikao, watu wakamkejeri Mbowe na Sugu (hata mtu wa ulaya ulifanya hivyo) kile kile walichokua wanagombea kina Mbowe kinarudishwa Bungeni tena, ndio kusema Wachezesha disco na wasiosoma wana akili kuliko waliokulia kwenye siasa na wasomi! Anyway, ni Tanzania tu ndio wapiga kura wao hawatunzagi kumbukumbu cause kama tungekua watunza kumbukumbu, ccm ingekua inasomwa kwenye vitabu vya historia tu. Aibu kubwa sana mtu kama wewe ku-comment hicho ulicho andika
 
Hapa nitajua jamaa amesaini mkataba NYK akiwa anajiamini ktenda haki'
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Duh nadhani B 7 ya leo utakuwa ulichukua mapema then umeweka hii post yako.Lakini hakina B 7 ya kesho imekula kwako.
 
Back
Top Bottom