Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Kumbe Chris usipokunywa ulanzi aka cider unakuwa points!
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Ingekuwa ni vizuri tukapata source ya hii habari.muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Chris leo hatimaye umeanza kupata akiri! Najua suala la Tanganyika linakudrive crazy! hahahaha! Lakini inabidi katiba iangaliwe kwa upana wake!Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Mkuu umefanya nicheke sana. Naamini na wewe hukutegemea kumsoma ex-policekinamna ile.