Muswada kurudishwa bungeni

Muswada kurudishwa bungeni

Mtani wangu, huyu dealer wako wa leo kakupa Msokoto mwema sana, endelea naye.

Nakupa TANO ya nguvu kwa leo.
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
 
Katiba ni ya watanzania wote bila kujali itikadi ya mtu, katika hili ni vizuri tuvumiliane ili upate katiba ya watanzania wote na sio viongozi! Muswada ni vizuri urudi bungeni kwa maslahi ya wote!
 
kama ni kweli huu mswada unarudishwa bungeni basi ndugu RAIS atakuwa amewatendea haki watanzania bara kwa maana ya watanganyika na wazanzibari hakika atakuwa amepata nishani kubwa ya HESHIMA ya mioyo ya watanzania MUNGU mbariki kiwete MUNGU bariki muungano wa vyama vya upinzani MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Inawezekana huu ndio mtindo mpya wa kutunga sheria sasa unaofanywa na Bunge; huu utakuwa mswada wa ngapi wa sheria kulazimishwa kurudishwa Bungeni kabla hata haujaanza kutumika?

Mkuu,

Huu mtindo mpya wa wakuwaibia watanzania. Hata hivyo sifa ziwaendee vyama vya upinzani kuwa jasiri na wazalendo. Kuna haja ya kutoa adhabu kali kwa naibu spika na baadhi ya wabunge/ mawaziri kwa upuuzi/ uendawazimu wanaotufanyia. Lazima haya yawe na mwisho
 
Ccm wamepoteza waledi kias kwamba wanapitasha mswada mbov u kama ule, kwa kuwa utarudi bungen hamna shnda kwani 2mejipanga kufanya makubwa kuelekea 2015!
 
Mtu akiangalia haraka atafikiri umetumia hekima kumbe umesoma game ukagundua ccm will never win this. Teh teh
Mkuu una watoto?

Kama una watoto basi wafikirie wao kwanza then ndio utajua umuhimu wa katiba kuamuliwa na watanzania, sio watu wa upande mmoja.

Mimi mwenyewe huu mchakato wa katiba unanigusa kwa aslimia 100%

Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI, Nimezaliwa Mbeya nimekulia Iringa, Kabila langu mhehe wa Kalenga Iringa.

HEBU NIAMBIE UNA JEURI GANI YA KUNIITA FOREIGNER,

NENE MWALUKOSI WA KUKALENGA NDINA FITINDI FYA ULASI FYOLOFU HIILO!

Leo hii ninapofika airport ninakuwa treated kama foreigner wakati ukumbuke mimi ni ex police wa Tanzania na wazazi wangu wote ni watanzania na wako Tanzania.

Huo ni mfano tu wa yanayotuhusu kwenye katiba bila kusahau suala la mgombea binafsi nk.

Ili kupunguza rushwa kwenye chaguzi zetu na kusaidia kuchagua viongozi watakaotufaa inabidi mgombea binafsi aruhusiwe. Hii itasaidia sana kama mtu akipigwa zengwe kwenye chama chake basi anakwenda gombea kama mgombea binafsi inabaki kuwa kazi ya wananchi kuamua

Yako mengi lakini siwezi andika yote
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Cross-site Scripting may have been used to access your account; you are well advised to change your password to mitigate your account's vulnerability.
 
nitashangaa sana kama ccm watakubali kuaibishwa kias hiki
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Hata wewe umeliona hilo; sasa sijui kipofu gani atabaki bila kulitambua umuhimu wake!!
 
Mhh huku ni kuchotana akili so kwa mara nyingine tena Lukuvi na Nape baada ya mission ya kumvalisha kofia ya chama mchina naona wana feli tena LOL.. Kweli Nnauye una gundu!!
 
Back
Top Bottom