Muswada kurudishwa bungeni

Muswada kurudishwa bungeni

Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Daah chriss naona daktari wako kafanya kazi kubwa sana mpaka umeanza kuonyesha dalili ya kupona hongera dokta mgonjwa wako kaimprove.
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Nadhani utakuwa umechanganyikiwa, yani mpaka umetoa post nzuri hivi?
 
Pamoja na kuwa itaonekana ushindi kwa washindani, lakini kwa lilivyo bunge letu hata ukirudishwa utapitishwa watakavyo bila mabadiliko.
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

We mnafiki kweli;

Ni Jana tu umetapika 'inatokea tu Tanzania Wabunge 46 ...'
Leo unakula matapishi yako!
 
Hah hah hah hah
 
only83:Nadhani utakuwa umechanganyikiwa, yani mpaka umetoa post nzuri hivi?[
Lukosi ameanza kupona nadhani daktari ameamua kujitoa mhanga kumtibia chriss.
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Christopher lukosi aka chilisosi aka ex cop..umepatwa na kitu gani? Mbona hu support magamba wenzako?
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

huyu jamaa kumbe anajua mambo yanavyoenda pia ni critical thinker ila nahis bado anamawazo ya kuwa chama ni dini.
 
Nilichongundua mm ni kuwa katiba inayoandaliwa sasa hivi siyo kwa ajiri ya miaka 50+ isipokuwa ni kwa ajili ya kufanyia tu uchaguzi mwaka 2015
 
muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.

Acha kuongopa ww,rais akidondoka bongo kaz ya kwanza n kutia wino huo mswada,,hzo n ndoto za upinzan wapo wachache na wanataka wao ndo wasikilizwe,damn
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
mh makubwa?ni wewe au kuna mtu kaiba kifungulio chako hapa JF?nimeamini kuna kuna wakati machizi akili huwa zinawarudia.
 
Kama ni kweli huu mswada utarudishwa bungeni hakuna kama nguvu ya umma. Wakati mwingine huwa nawaza hawa wabunge majority wanatumia nn kufikiri. Kuna vitu vingine vya aibu nadhani wenyewe baadae wanaona kabisa ila ndo hivyo protection of political regime. Terrible.
 
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote

Ni wewe uliyetoa comment hii au ni hizi kinana baridi ninazokunywa saa hizi nimejichanganya!?
 
Mkuu una watoto?

Kama una watoto basi wafikirie wao kwanza then ndio utajua umuhimu wa katiba kuamuliwa na watanzania, sio watu wa upande mmoja.

Mimi mwenyewe huu mchakato wa katiba unanigusa kwa aslimia 100%

Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI, Nimezaliwa Mbeya nimekulia Iringa, Kabila langu mhehe wa Kalenga Iringa.

HEBU NIAMBIE UNA JEURI GANI YA KUNIITA FOREIGNER,

NENE MWALUKOSI WA KUKALENGA NDINA FITINDI FYA ULASI FYOLOFU HIILO!

Leo hii ninapofika airport ninakuwa treated kama foreigner wakati ukumbuke mimi ni ex police wa Tanzania na wazazi wangu wote ni watanzania na wako Tanzania.

Huo ni mfano tu wa yanayotuhusu kwenye katiba bila kusahau suala la mgombea binafsi nk.

Ili kupunguza rushwa kwenye chaguzi zetu na kusaidia kuchagua viongozi watakaotufaa inabidi mgombea binafsi aruhusiwe. Hii itasaidia sana kama mtu akipigwa zengwe kwenye chama chake basi anakwenda gombea kama mgombea binafsi inabaki kuwa kazi ya wananchi kuamua

Yako mengi lakini siwezi andika yote
Lukosi kiasi fulani leo umeonyesha kuwa kuna wakati unaweza kuunganisha akili zako na moyo wako ukijikita katika ukweli. Ila nikuulize jambo moja mkuu, jee hayo uliyoandika kwenye signature yako yaingizwe kwenye katiba mpya? Tafakari.
 
ACHANENI NA LUKOSI, KWANI HAMNA CHA KUCHANGIA ZAIDI YA KUMSHANGAA LUKOSIIIIIIIIIi
 
Mkuu una watoto?

Kama una watoto basi wafikirie wao kwanza then ndio utajua umuhimu wa katiba kuamuliwa na watanzania, sio watu wa upande mmoja.

Mimi mwenyewe huu mchakato wa katiba unanigusa kwa aslimia 100%

Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI, Nimezaliwa Mbeya nimekulia Iringa, Kabila langu mhehe wa Kalenga Iringa.

HEBU NIAMBIE UNA JEURI GANI YA KUNIITA FOREIGNER,

NENE MWALUKOSI WA KUKALENGA NDINA FITINDI FYA ULASI FYOLOFU HIILO!

Leo hii ninapofika airport ninakuwa treated kama foreigner wakati ukumbuke mimi ni ex police wa Tanzania na wazazi wangu wote ni watanzania na wako Tanzania.

Huo ni mfano tu wa yanayotuhusu kwenye katiba bila kusahau suala la mgombea binafsi nk.

Ili kupunguza rushwa kwenye chaguzi zetu na kusaidia kuchagua viongozi watakaotufaa inabidi mgombea binafsi aruhusiwe. Hii itasaidia sana kama mtu akipigwa zengwe kwenye chama chake basi anakwenda gombea kama mgombea binafsi inabaki kuwa kazi ya wananchi kuamua

Yako mengi lakini siwezi andika yote

Dahaa leo nmekuona mtu wa busara unaendana na wakati..hivi ndivyo gentle man anatakiwa kuwa, usiwe kama bendera fata upepo kaka.. Kwa kweli malaika wa bwana kakutokea au itakuwa ndyo shetani akizeeka huwa malaika..
Cc Tandale one a.k.a Nepi papa mtoto wa mwenge.
 
Back
Top Bottom