Must see Movies

Escaper

Escaper

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
619
Likes
1,213
Points
180
Escaper

Escaper

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
619 1,213 180
ZItafuteni movie mbili zmetoka hv karibuni..
Mile 22
Alpha
Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,670
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,670 280
Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
Alpha imeisha kizembe sana, kama Mowgli tu
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
6,034
Likes
6,269
Points
280
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
6,034 6,269 280
Alpha daah ile movie demu wangu alichek mara moja tu juzi nataka niirudie anasema usiniwekee movie zako za huruma ila yule dogo aliisoma namba! Kuporomoka kwenye lile bonde na ile mvua daah!
Alpha hakuna movie Palee ni Ujinga ulee...
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,368
Likes
6,839
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,368 6,839 280
Mile 22 ndo movie...alpha unapoteza Mb zako buree... Yani action hakunaa maujinga tuu...
Alpha ni bonge la movie, ni bonge la story, inaelekea wewe unapenda action tupu ndio mana movie kama alpha huzipendi
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,368
Likes
6,839
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,368 6,839 280
Alpha story yake ipi saaa pale???? Sijaelewa yani kwamba yulr mtoto kukaa na yule mbwa au????
Yule kijana alikua mtoto wa mama kichizi, yan chai tambi, no one alitegemea yule dogo atasurvive ile ajali na safari ya kurudi nyumbani kipindi ambacho ilikua ni peak ya baridi na barafu
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
6,034
Likes
6,269
Points
280
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
6,034 6,269 280
Yule kijana alikua mtoto wa mama kichizi, yan chai tambi, no one alitegemea yule dogo atasurvive ile ajali na safari ya kurudi nyumbani kipindi ambacho ilikua ni peak ya baridi na barafu
Eehe sasa bora njiani kungekuwa na mikiki mikiki ya maana naona action moja kama sio mbili..!! Ilibadi iwe na mkono zaidi akiwa njiani kurudi home coz kama ni story mbona anatembea tu just na mbwa njia nzima... Sema kila mtu na upendeleo wake.. But kwangu ni Movie Mbayaaa...
 
Joe Unruly

Joe Unruly

Senior Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
129
Likes
103
Points
60
Joe Unruly

Joe Unruly

Senior Member
Joined Jul 27, 2016
129 103 60
Hizi ni shida
Predator
Venom
Hunter killer
Night comes for us
Mission impossible fall out
Johnny English strike again
Night comes for us ni unyama Iko Uwais kaitendea Haki kma kawaida Ila predator ya sasaiv ni mbovu Kwa mtazamo wangu aseee
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
6,034
Likes
6,269
Points
280
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
6,034 6,269 280
Night comes for us ni unyama Iko Uwais kaitendea Haki kma kawaida Ila predator ya sasaiv ni mbovu Kwa mtazamo wangu aseee
Iko uwais jamaa na balaa huyuu khaa... Ngoja antafuta movie zake zotee...
 
Joe Unruly

Joe Unruly

Senior Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
129
Likes
103
Points
60
Joe Unruly

Joe Unruly

Senior Member
Joined Jul 27, 2016
129 103 60
Iko uwais jamaa na balaa huyuu khaa... Ngoja antafuta movie zake zotee...
Kuna merantau
The raid: redemption
Raid 2
Headshot
Night comes for us
Na kuna hii inaitwa triple threat japo cdhani kma imetoka jamaa ni noma
 
Forum statistics

Threads 1,249,941
Members 481,161
Posts 29,715,290