Must see Movies

Must see Movies

mkwaju enzi za mkapa
images.jpg
 
Movie ya kawaida saaaaana hiyo tena ukawaida wake unaenda kwenye ubaya.

NB:ni mtazamo wangu niliechoma 1GB kuidownload
Yani wamechanganya neno thieves nikadhani ni bonge la heist kama zilivyo army of thieves army of dead, the vault n.k na nyingine kama hizo kumbe tusichome mb bure?
 
Msaada wakuu tv yangu hai play video zilizo kwenye format ya mkv. Naombeni msaada namna ya kuibadili movie kwenda mp4 kwa quality ileile.
 
Hii movie iliniboa hapo tuu kwa huyo dogo, yn n bora wangetafuta point nyingine ya kuendeleza Game mana dogo alizungua halafu bado akawa hajui akae upande gani yani kwa mama ake anataka na kwa yule baba mkubwa ake nako anapataka.
Kama hiyo story imekuboa basi waandishi wamefanikiwa

Character wanatengenezwa ili kuwaboa , kuwakasilisha,kuwafurahisha audiences
 
Back
Top Bottom