Must see Movies

Ni mzuri tusichome MB bure?
kwangu nimeiyona ya kawaida ,sema shida yangu ilikua kupata website nichague aina ya single move nazozitaka. kwa upande wa sireas hua napenda kuzidowload kupitia o2tvseries japo yale maapp ya matangazo ya pilau yanakera sana kwenye bebsite yao ila tunaenda nayo hivyohivyo
 
O2tvseries hawanaga quality unaangalia series unaona maukungu
 
kwangu nimeiyona ya kawaida ,sema shida yangu ilikua kupata website nichague aina ya single move nazozitaka. kwa upande wa sireas hua napenda kuzidowload kupitia o2tvseries japo yale maapp ya matangazo ya pilau yanakera sana kwenye bebsite yao ila tunaenda nayo hivyohivyo
Tumia website hizi

Netnaija.com
Nkiri.com
Seriesway.com ( hii naipenda sabb unakuta na subtitles moja kwa moja na inaquality nzuri episode 1 inakula MB 200 )
 
What if...?
FB_IMG_1687697984942.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom