Investo
JF-Expert Member
- May 19, 2020
- 555
- 1,206
Hizi Kali balaa
Hizi Kali balaa
Mkuu ushaichek hii... Hapo naowaona wote ni wazee wa low budget movies. Yani nikionaga filamu zao huwa sitegemei maajabu kabisa
kma ulizipenda saw basi hizi nazo utazipenda zaidiOk nimekupata
But SAW ni horror Ila ina umwagaji damu wa kutosha
ndio ilikuwa ni martial art comedy film iliitwa Kungpow: Enter the fist 2002.Mnaikumbuka hii View attachment 2632146
Okay ntaishusha niipitieBado sijaitazama...
Mimi ni movie maniac, low budget huwa natazama especially ikiwa ina wakongwe niliowakubali zamani...
Hii movie unyamamzigo wangu boraaaaaaa kabisa kwa mwaka 2015 woteeeeeee mamamaeeeeeee.View attachment 2632513


Naomba link ya group la movie Telegram
MAD MAX 2 inaweza kutoka mwakanimzigo wangu boraaaaaaa kabisa kwa mwaka 2015 woteeeeeee mamamaeeeeeee.View attachment 2632513
Kali sanaa hiimzigo wangu boraaaaaaa kabisa kwa mwaka 2015 woteeeeeee mamamaeeeeeee.View attachment 2632513
JOHN WICK CHAPTER 4
Worth waiting
BABAYAGA ameagwa kishujaa sana
Yeah its more than expected. Keanu reeves ameua vibayaJOHN WICK CHAPTER 4
Worth waiting
BABAYAGA ameagwa kishujaa sana
Nyingine imebidi zisubiri kwanza 😀😀Ina Gb za kutoshaaaaView attachment 2631995
Katika uhalisia, kufanya mauaji ya aina hii ni lazima uwe na tatizo la kiakili kidogo.Terrifier 2
Kama unahitaji kuona muvi ya mauaji mabaya na ya kikatili basi angalia hii itakufaa.
Humu story yake ni ushuzi mtupu, jamaa anaua bila sababu za msingi Ila nimeipenda Sana
Haya ndio mauaji niliyotaka kuyaona kwenye movie
Natamani Hollywood waendelee kutoa muvi nyingi za aina hiiView attachment 2631002
Tangu chapter 2 yule jamaa hana action scenesJamaa ametisha sana japo nilitamani kuona action za yule mniga aliyekuwa mwalimu wake kwenye matrix
Hata jamaa anayeua watu anaonekana ana matatizo ya akiliKatika uhalisia, kufanya mauaji ya aina hii ni lazima uwe na tatizo la kiakili kidogo.



, dah muvi tamu sana hii