Must see Movies

Must see Movies

Terrifier 2
Kama unahitaji kuona muvi ya mauaji mabaya na ya kikatili basi angalia hii itakufaa.
Humu story yake ni ushuzi mtupu, jamaa anaua bila sababu za msingi Ila nimeipenda Sana
Haya ndio mauaji niliyotaka kuyaona kwenye movie
Natamani Hollywood waendelee kutoa muvi nyingi za aina hii
Screenshot_2023-05-22-10-46-05-290_org.videolan.vlc.jpg
 
Terrifier 2
Kama unahitaji kuona muvi ya mauaji mabaya na ya kikatili basi angalia hii itakufaa.
Humu story yake ni ushuzi mtupu, jamaa anaua bila sababu za msingi Ila nimeipenda Sana
Haya ndio mauaji niliyotaka kuyaona kwenye movie
Natamani Hollywood waendelee kutoa muvi nyingi za aina hii View attachment 2631002
Mzee wa visusio umecheki na evil dead za nyuma?
 
Back
Top Bottom