Must see Movies

Bootleg? hell no mimi nina channel kutoka jikoni siyo bootleg wala nini kama unataka si useme niku hook up na movies?.

Movie iko theatre wewe unazungumzia kuwa una channel kutoka jikoni si ndo bootleg yenyewe hiyo lol....
 
Unajua bootleg nyingi zile za dvd quality uwa zinapatikana pindi wanapozipeleka for award consideration(viewing) watu wanacopy hapo na kusambaza....so kama anayo hiyo channel anapeta tuu.


Naona umeshajijibu mwenyewe tayari...and i will add nothing.
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=CvUxdQ4q-Lg"]YouTube - Taken - Trailer 2 [30 January 2009] HQ[/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=Z9TaEY0N0tU]YouTube - Duplicity - Official Trailer[/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=LwEs06GJKCU]YouTube - Beyonce - Obsessed Trailer[/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=737QmQl_eYo&feature=PlayList&p=7E61D71FB2761F78&index=0&playnext=1]YouTube - Fast and Furious 4 trailer[/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=uH6SAvCD_kM]YouTube - State Of Play - Official Trailer [HD][/ame]
 
Fast and Furious 4 miyayusho kweli kweli, State of Play ni nzuri ila sio kama nilivyotegemea naona wameitundika Blackwater kwa jina lingine lol kuanzia jina la kwanza la mmiliki na jina la state walioko.
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=taXjwvL52v4&feature=fvst]YouTube - Dance Flick - Trailer in iHD™[/ame]
 
Najua wengi wenu humu movie za design hii hamzipendi ila nimekuwa naisubiria kwa muda mrefu sana. Kwa kuangalia trailer na kusoma habari zake nadhani itakuwa ni the best Trek tangu Wrath of Khan. So to all those Trekkies na new fans nendeni mkaiangalie. Habari zaidi nikitoka kuitizama.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=7w4vk5OZmn8]YouTube - Star Trek - Official Trailer 3 [HD][/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=LrmoWKr1XCs&feature=related]YouTube - Angels and Demons - New Full-Length Trailer HD [02:17][/ame]
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=cpOVOiYh8Ig]YouTube - The Taking of Pelham 123 Trailer (HD)[/ame]

LOS ANGELES-A grieving John Travolta is still 'struggling' after the death of his son, says co-star Denzel Washington.

"I talked with JT two and a half weeks agi. Needles to say, he's struggling, Washington told journalists at news conference for their new thriller The Taking of Pelham 1 2 3.

"So more than talking to him, I listened to him for about two or three hours. It's going to take time."

Travolta was not doing press for the movie that pits him and Washington against each other as a hostage-taking criminal and subway dispatcher.

In January, Travolta's 16 year ols son Jet died suddenly after reportedly suffering a seizure while on vacation with his family in the Bahamas.

"What can you say?" Washington said. "You just have to be there as friend. He's such a sweet sweet person. Our prayers are with him and his wife."
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=dWof6CovHxI&feature=fvst]YouTube - Public Enemies - Official Trailer [HD][/ame]
 
Denzel na Travolta wamecheza vizuri sana kwenye Pelham 123. Nadhani katika Weekend Box office itakuwa number 1 movie this weekend na kutokana na watu walivyojaa jana na reaction yao through word of mouth ina uwezo kabisa wa kufikisha $100 million. Ni suspense kuanzia mwanzo hadi mwisho. Itafutie muda ukaione.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom