Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,048
- 46,916
Download sub kupitia hiyo vlcNatumia VLC, MX Player, Default Video Player na Xiaomi Video Player (Mi Video)
Download sub kupitia hiyo vlcNatumia VLC, MX Player, Default Video Player na Xiaomi Video Player (Mi Video)
Nimedownload subtitles kupitia Video Player zote hizo, zinapishana tu. Mpaka leo The Roundup sijaiangalia, ipo tu kwenye GalleryDownload sub kupitia hiyo vlc
Labda kama unaangalizia kwenye simu au tablet kama hivyo.Netnaija nimeizoea, quality yake kwangu ipo safi tu
Muvi zenyewe naangalia kwenye tablet sijawahi kujaribu kwenye TV
Sitoacha kutumia Netnaija. Nilijaribu subtitles zaidi ya kumi za The Roundup, ila zote zipo vilevile zinachelewa sekunde kadhaa, nikaona isiwe shida nikaingia Google kutafuta solution, kumbe kupitia VLC unaweza kurekebisha kupitia subtitle delay tena unaset unavyotaka wewe. Nimefanikiwa na nimeiangalia The Roundup yote, Hii muvi tamu sana, Ina mkono wa kutosha tu, jioni imeshaenda vizuriItabidi niache kutumia Netnaija, hili tatizo la muvi kutomatch subtitles linanitokea sana. Hadi inakera


Download iyo app PlaystoreNimedownload subtitles kupitia Video Player zote hizo, zinapishana tu. Mpaka leo The Roundup sijaiangalia, ipo tu kwenye Gallery
Cheki hiyo trela hapo juu kisha muvi ikitoka unijuzeDownload iyo app Playstore View attachment 2525921
Ebhana eeeh nilikuwa sijaiona weee ngoma inaonekana kali sana..Cheki hiyo trela hapo juu kisha muvi ikitoka unijuze
Hii app nilikuwa nayo, nimeikutaDownload iyo app Playstore View attachment 2525921
Hyo confidential assignment 1 imetulia kinomaAction Action Action
Confidential Assignment 2: International (2022)View attachment 2526228
The Roundup (2022)View attachment 2526229
Kama unatumia vlc Kuna sehemu ya ku adjust zika synchronizeThe Roundup nimedownload kupitia Netnaija na subtitles pia ni za Netnaija ila bado zinapishana. Mbaya zaidi ni ya Kikorea
Death on the Nile, Sorry about the demon na series ya House of the Dragon nazo mambo ni yaleyale
Mbona tayari nilifanikiwa kitamboKama unatumia vlc Kuna sehemu ya ku adjust zika synchronize
Hii movie nilijikuta namkubali aduiAction Action Action
Confidential Assignment 2: International (2022)View attachment 2526228
The Roundup (2022)View attachment 2526229

kama Raging fire ya don yen

Wakorea wako moto sikuhiziAction Action Action
Confidential Assignment 2: International (2022)View attachment 2526228
The Roundup (2022)View attachment 2526229
Wakorea ni moto sana hawa jamaa, Tena ni moto wa kuotea mbaliWakorea wako moto sikuhizi




Namimi itabidi nishuke nayoWakorea ni moto sana hawa jamaa, Tena ni moto wa kuotea mbali
Leo au kesho naushusha huu mzigo
HUNT (2022) Yaani ni Action over ActionView attachment 2527277