Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Kigongo kingine hiki apa jamaa adui anauliwa ndugu yake na star wa movie mziki wake sio wa kitoto anagonga mkono mixer kucharanga watu mapanga kama hana akili timamu, Nimejionea mwenyewe na sijaifuta kwenye PC yanguMnataka kusema wkend hii hakuna muvi hata moja ya kuzugia?
![]()

) alijichanganya akaua manzi ya mwamba usalama wa taifa wa uko kwao jamaa ikabidi aombe likizo fupi kumtafuta muuaji siku aliempata alimpa doso heavy alaf akamlisha kiGPS tracker kila anapoenda na anachosema mwamba anasikia, Jamaa ilikuwa kila mara akitaka kufanya tena tukio mwamba anamuibukia anampa mateso............................... Hii ndo ile kitu mateso yanazidi unakimbilia polisi



