Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 249
Nisamehe kama nimekukwaza brother, haikua lengo langu kukukwaza bali hatufanani katika hali za maisha na utafutaji wa riziki.Acha urafi wa Pesa umeshindwa kutoa Bure mpaka ulipishe watu?..? Kwanza istoshe wewe mwenyewe umeipata Bure sasa hiyo tamaa yakulipisha watu unatolea wapi mKuu
Mungu akubariki







?..? Kwanza istoshe wewe mwenyewe umeipata Bure sasa hiyo tamaa yakulipisha watu unatolea wapi mKuu
AMINA 
