Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Hivi kweli unafananisha Elimu ya Padri na Elimu ya Sheikh? Uko serious kweli?
Unavijua vigezo mpaka mtu anafika hatua ya kuwa Padri?
Unapoona mtu anaitwa Padri jua kabisa Elimu yake Imeshiba.
Nimecheka sana

Hata Mtu akiitwa Sheikh Kisheria

Basi ameshiba kielimu mno

TANBIH
Usiwafananishe Mashee wa mtaani kwa kuitwa kwao Mashee
Kwa Tz,Masheikh ni wachache mno kwamaana ya mno,wengi Tz ni Wanafunzi Kielimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nn wanaruhusu mashehe kujiita mashehe kiholela? Sijawah kusikia mtu akijiita padri kiboya
 
chuo Cha mum wahitimu Ni butu kichwan Ni empty set eti wao Wana deal na Mambo ya dini alafu wanajiita chuo Cha kitaalamu upuuzi
vyuo vya wakristo Hakuna upuuz huo mfano kcmc,saut,mwenge, bugando nk Ni vyuo Bora Africa Mashariki
Hawa ndugu zetu elimu iliwapita kushoto muda sana
 
Kuna mtu mmoja hapo juu anafananisha Padre na shehe/imam
huwezi fananisha watu Hawa hawaendan hata kidgo
asilimia kubwa ya maimamu shehe(98%) hawana elimu ya taaluma zaidi ya dini
Ila mapadre Wana both taaluma na dini ndio maana vigezo ili uwe Padre lazma uwe na taaluma na uwe umepita form six
ndio maana kuna mapadre ni madoctor,ma ingérer,waalimu nk
ulishaona imamu daktari?
hebu acheni kufananisha watu walioishia std 4 ya mkoloni na watu waliopiga ma masters au PhD Zao
 
kwa hiyo unaposikia sheikh kwa mawazo yako unafikiri ni kanzu........? muweke sheikh hapo na padri hapo, kisha wapokonye kitabu cha dini husika , waambie watiririke kupitia kichwa uone ni nani aliyesoma akaelewa na nani aliyekariri. ACHA DHARAU.
Wakati nasoma shule ya msingi nilikua na rafiki yangu muislam, huyu jamaa tangu chekechea anasoma madrasa tulipofika darasa la tano akaanza kuswalisha misikiti ya vijijini (hapo anakua amekua shekhe/ustadhi... Mi sifahamu). Olevo kamaliza hakwenda advance akakomaa na dini.

Ile namaliza form6 yeye tayari ni shekhe anazunguka misikiti ya vijiji kadhaa.

Kuna mtoto wa jirani yetu sasa huu ni mwaka wa 6 anasoma upadri na anakwambia bado anayo safari ndefu hadi kuapishwa kua padri na hapo jamaa alimaliza form6.

Mimi sinaga dini kabisaa ila najua mapadri ni vichwa vikali hata kama alianza mafundisho akiwa hana akili za elimu dunia, anapohitimu hayo mafunzo ya upadri hua anakua kabadilika sanaa kiakili na kitabia pia. Huyu anasoma upadri wakati Mimi nipo darasa la pili yeye alikua darasa la 6 na alikua kiranja katili sana kuchapa wanafunzi, kupigana etc ilikua kawaida yake ila siku hizi ni mpole, mnyenyekevu sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo hiki kikuu kilichopo maeneo ya Msamvu Morogoro, kilianzishwa mara baada ya kupewa majengo yaliyokuwa Chuo cha TANESCO pamoja na kuzalisha wahitimu toka enzi hizo na kufungua matawi sehemu kadhaa za pwani ya Tanzania (ikiwemo Zanzibar - Unguja) ni vigumu sana kukutana na wahitimu hao sehemu za kazi, biashara na nyanja mbalimbali za kujenga uchumi.

Tuseme hawa wahitimu wanajiajiri tu kwenye sekta zisizoonekana kwa macho? ama wanaishia ughaibuni ambako ni ngumu kuwa-track?

** Tafadhali usichafue hali ya hewa ni katika kutaka kujua tu ili kupima ubora unaoimbwa na TCU katika vyuo vikuu Tanzania.
Je Wahadhiri wake wanaajiriwa kwa sifa zipi? Je TCU inaweza kwenda kupitia CV zao na kujiridhisha? Bila kupata figisu figisu kwa uongozi wa chuo husika?
Nenda PBZ na Amana Bank utawakuta
 
Nenda PBZ na Amana Bank utawakuta
Acheni roho za korosho graduates wa MUM wapo maeneo mbali mbali ya taasisi za serikali na binafsi kwa mfano ukienda TBC wapo,Idara ya habari maelezo wapo,Tume ya uchaguzi wapo,NIDA wapo,RITA wapo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wapo,Taasisi za elimu wapo. Naomba niishie hapa kwa leo.
 
Vyuo vikuu hivi vinavyomilikiwa na taasisi za dini ni kazi sana asee unakuta sijui shehe/ulamaa sijui padiri elimu yenyewe ya kuunga unga nae ana cheo huko chuoni sijui Faculty Dean, sijui Deputy Vice Chancellor yaani ukimcheki tu kwa jicho la haraka haraka bora mbunge wetu wa pale stendi ya kwenda nje ya dar.
Uwe na Akiba ya Maneno. Hakuna Padre mwenye Elimu ya kuungaunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni roho za korosho graduates wa MUM wapo maeneo mbali mbali ya taasisi za serikali na binafsi kwa mfano ukienda TBC wapo,Idara ya habari maelezo wapo,Tume ya uchaguzi wapo,NIDA wapo,RITA wapo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wapo,Taasisi za elimu wapo. Naomba niishie hapa kwa leo.
Nan aajiri mtu wa mum? Kachuo kasio na hadhi ya kitaaluma
Ile ni Kama madrsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nasoma shule ya msingi nilikua na rafiki yangu muislam, huyu jamaa tangu chekechea anasoma madrasa tulipofika darasa la tano akaanza kuswalisha misikiti ya vijijini (hapo anakua amekua shekhe/ustadhi... Mi sifahamu). Olevo kamaliza hakwenda advance akakomaa na dini.

Ile namaliza form6 yeye tayari ni shekhe anazunguka misikiti ya vijiji kadhaa.

Kuna mtoto wa jirani yetu sasa huu ni mwaka wa 6 anasoma upadri na anakwambia bado anayo safari ndefu hadi kuapishwa kua padri na hapo jamaa alimaliza form6.

Mimi sinaga dini kabisaa ila najua mapadri ni vichwa vikali hata kama alianza mafundisho akiwa hana akili za elimu dunia, anapohitimu hayo mafunzo ya upadri hua anakua kabadilika sanaa kiakili na kitabia pia. Huyu anasoma upadri wakati Mimi nipo darasa la pili yeye alikua darasa la 6 na alikua kiranja katili sana kuchapa wanafunzi, kupigana etc ilikua kawaida yake ila siku hizi ni mpole, mnyenyekevu sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ili uwe Padre Ni lazma umalize form six na vilevile ukishakuwa Padre unasomea taaluma
Ndio maana kuna mapadre Ni waalimu, madoctor,engineers nk
Sasa ndio watu wafananishe na hao.wanaoishia la 4?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu mmoja hapo juu anafananisha Padre na shehe/imam
huwezi fananisha watu Hawa hawaendan hata kidgo
asilimia kubwa ya maimamu shehe(98%) hawana elimu ya taaluma zaidi ya dini
Ila mapadre Wana both taaluma na dini ndio maana vigezo ili uwe Padre lazma uwe na taaluma na uwe umepita form six
ndio maana kuna mapadre ni madoctor,ma ingérer,waalimu nk
ulishaona imamu daktari?
hebu acheni kufananisha watu walioishia std 4 ya mkoloni na watu waliopiga ma masters au PhD Zao
Umeeleza vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom