Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Watu wana maradhi ya moyo humu. Ila graduates wa MUM wapo kwenye taasisi na mashirika kibao wanapiga kazi.

SUKAH...
 
Hizo Ni taasisi au viji taasisi ? Hahaha cjawah ona daktari,nurse,engineer kutoka mum popote tz
Hako ka chuo ni madrasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndiyo tunajua uwezo wako wa fikra na kujenga hoja. Hivi ulijaribu kupitia kwenye website ya MUM ukajionea wanafundisha kozi gani? Ubishi ndiyo unakufanya ushindwe hata kufanya utafiti ili upate majibu sahihi. Ukivaa miwani meusi kila kitu utakiona cheusi.
 
Hawa jamaa sidhani kama watasalimika aisee! kile chuo namna wanavyodahili wanafunzi wao UTAFURAHI na roho yako, katika vigezo vyao wanajumuisha ni RELIGIOUS SUBJECTS ambazo wengi huibuka na GRADE ZA "A" huku masomo ya ELIMU DUNIA mtu na "F"F" F" kinachofundishwa lecture theatres nako ni utata mtupu. Waajiri wengi pia hujitenga na wahitimu toka taasisi hii PENDWA
NB: Wengi waliajiriwa kipindi ambapo walimu wengi walikuwa wanaajiriwa tu sasa unamkuta mtu SOMO LA KUFUNDISHIA: Somo la DINI tu sasa sijui huko shule anaenda kuwafundisha nani dini. INATIA HASIRA SANA.
Ok
IMG_20190208_123220.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo hiki kikuu kilichopo maeneo ya Msamvu Morogoro, kilianzishwa mara baada ya kupewa majengo yaliyokuwa Chuo cha TANESCO pamoja na kuzalisha wahitimu toka enzi hizo na kufungua matawi sehemu kadhaa za pwani ya Tanzania (ikiwemo Zanzibar - Unguja) ni vigumu sana kukutana na wahitimu hao sehemu za kazi, biashara na nyanja mbalimbali za kujenga uchumi.

Tuseme hawa wahitimu wanajiajiri tu kwenye sekta zisizoonekana kwa macho? ama wanaishia ughaibuni ambako ni ngumu kuwa-track?

** Tafadhali usichafue hali ya hewa ni katika kutaka kujua tu ili kupima ubora unaoimbwa na TCU katika vyuo vikuu Tanzania.
Je Wahadhiri wake wanaajiriwa kwa sifa zipi? Je TCU inaweza kwenda kupitia CV zao na kujiridhisha? Bila kupata figisu figisu kwa uongozi wa chuo husika?
Please Faizafox tujibie
 
Hapo ndiyo tunajua uwezo wako wa fikra na kujenga hoja. Hivi ulijaribu kupitia kwenye website ya MUM ukajionea wanafundisha kozi gani? Ubishi ndiyo unakufanya ushindwe hata kufanya utafiti ili upate majibu sahihi. Ukivaa miwani meusi kila kitu utakiona cheusi.
Kwahiyo wanatoa degree za kusoma Quran?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mhitim wa chuo kikuu cha waislam morogor. Nilihitim mwaka 2015 ila sikupata ajir kw kuwa mwalim wa masomo ya sanaa. Kwa wahitim wa mwaka huo tanzania nzima vyuo vyote wamekumbw na sakata la ukosef wa ajir kutoka serikalin(walim wa sanaa) lakin kabla ya mwaka 2015 wahitim wengi waliajiriwa sehem mbalimbal ikiwemo serikal na taasis binafsi. Wengi wanaojiunga na chuo hiki ni fani ya ualimu ambayo idadi yake inafikia zaid ya 95% huku ikifuatiw na fani zingne kama mass com. Law with sharia kw upande wa shahada. Wapo walim wengi tu walioajiriw ktk shule mbali mbail zikiwemo za serkl na shule binafsi. Wakat nafanya field yangu pale Lugoba nlikutana na walim walio hitim MUM pia wapo Kaka zangu na dada zangu walio nitangulia hapa chuo wengi walishapata Ajira. Kama ingekuwa hawapat ajira ni dhahir chuo kisingekuw na wanafunz mpaka sasa. Wapo pia wahitim ambao walijiendelez zaid ktk vyuo mbalimbali ikiwemo udsm, udom, na hata nchi za nje na sasa ni waajiriaw katk vyuo vikuu mbalimbali hapa nchin ikiwepo SUA, MZUMBE, ST. JORDAN pia na MUM kwa hapa moro mana ndipo uzoefu wangu ulipo mana naish hapa moro kw sasa. Kuhusu swala la kudahili wanafunz wasio na vigezo sio kweli, mfano mi binafsi nlijiunga nikiwa na ufaulu wa daraj la pili(DIV II) pia wapo ambao walirudishw kw kukosa vigez na sifa za kusoma shahada. Kila aliedahiliw na anaedahilia MUM amekidhi vigezo na ana sifa ya kusoma chuo chochote Tanzânia na kama wapo ambao watakosa nafasi ni kw baadhi ya vyuo ambavyo vina ushindani mkubw kama udsm na mfano wake na swala hili la ushindan ktka vyuo hivyo kama udsm huwakumba wanafunz wengi wanaomaliza kidato cha sita haijalish atajiunga na chuo gani. Mim narudia kusema nlijiunga na MUM kwa ufaulu wa div. II ila nadir kuw walikuwep wanafunzi waliokuwa na uwez mkubwa darasan japo sikuwez kujua matokeo yao ila nilijiridhisha kuwa pengne walikuwa na ufaulu mzur kunizid. Kuhusu swala la chuo kutokuwa na sifa na hoja kuwa hakitambuliw na tume ya vyuo vikuu pia si kwli, chuo kina sifa nzur ikiwemo miundombinu na mazngira mazur ya kusoma kina lecturers wengi na wakutosha ikiwemo walio ajiriwa moja kwa moja pia part time lecturers kutoka udsm, Sua, udom kw niwajuao. Wapo maprofesa, madocta waajiriw mbali na wale wa part time, pia wapo wenye mastas ambao wanahudum kama assistant lecturers. Na kuhusu TCU ni kwamba chuo hakipokei wanafunz moja kwa moja kutoka TCU na hii hufanya baadh ya watu kudhani chuo hakitambulik kwenye taasis hiyo kubwa inayosimamia vyuo vikuu nchini, Ila chuo tangu awali kilipo kabidhiwa kw waislam kutoka chuo cha tanesco na Rais mstaaf mh. Mkapa kiliomba ridhaa ya kufanya udahili moja kwa moja chuon kuliko kusubir wanafunz watakao letwa na tcu. Msingi wa swala hili ni kuwa, chuo kinaendeshwa na kusimamia maadili ya uislam kama jina lake hivyo chuo kilipendelea kupat idadi kubwa ya wanafunzi waislam ili pia iwe rahisi kusimamia maadili ya uislam kuliko ambavyo ingekuwa kama chuo kingepokea idadi ndogo ya waislam kulinganisha na wakristo kutoka tcu. Hili limefanya idadi ya waislam kuwa kubw kulinganisha na wakristo hivyo imekuw rahis sana kusimamia maadili ya uislam katka chuo. Maadili hapa inajumuisha uvaaji wa mavaz ya stara na heshma kwa pande zote ikiwemo wanaume na wanawake pia lugha chafu pamoja na uzinz. Mfano ukibainika na kuthibitika kuwa una mahusiano ya kimapenzi iwe wanafunz kw wanfunz au walim kw wanafunz nje na ndoa hilo litakufanya usimamishw masom moja kwa moja(kufukuzwa chuo). Na kuhusu chuo kuwa na mataw mbali mbali kama zanzibar pia sii kwli. Mpaka sasa chuo kikuu cha waislam moro hakina tawi hata moja katka nchii wala nje ya nchi ikiwemo na maeneo tajwa ktk uzi huu japo ni ukweli usioshaka kuwa yapo maeneo (viwanja) ktk maeneo hayo zanzbr, tanga, Dar kwa ajil ya ujenz wa mataw ya chuo kikuu cha waislam morogoro.
PENGINE NIMEJITAHID SANA KUKISEMEA CHUO CHANGU NLICHOHITIM KAMA KUNA MAMBO SIJAYATOLEA UFAFANUZI WAWEZA NIULIZA NA NTAKUJIBU KWA KADRI NIJUAVYO PIA KAMA KUNA SEHEM NIMEENDA TOFAUT WAHITIM WA CHUO HIKI MTAJAZIA ZAIDI. UKITAKA KUJUA ZAIDI NIULIZE KW 0657259545 ila muda ni jion mana mchana nahangaikia mkono uwende kinywan.

Kutoka ualimu wa sanaa hadi fundi ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo hiki kikuu kilichopo maeneo ya Msamvu Morogoro, kilianzishwa mara baada ya kupewa majengo yaliyokuwa Chuo cha TANESCO pamoja na kuzalisha wahitimu toka enzi hizo na kufungua matawi sehemu kadhaa za pwani ya Tanzania (ikiwemo Zanzibar - Unguja) ni vigumu sana kukutana na wahitimu hao sehemu za kazi, biashara na nyanja mbalimbali za kujenga uchumi.

Tuseme hawa wahitimu wanajiajiri tu kwenye sekta zisizoonekana kwa macho? ama wanaishia ughaibuni ambako ni ngumu kuwa-track?

** Tafadhali usichafue hali ya hewa ni katika kutaka kujua tu ili kupima ubora unaoimbwa na TCU katika vyuo vikuu Tanzania.
Je Wahadhiri wake wanaajiriwa kwa sifa zipi? Je TCU inaweza kwenda kupitia CV zao na kujiridhisha? Bila kupata figisu figisu kwa uongozi wa chuo husika?

Chuo kanjanja hicho usipime! Sijui kwanini mpaka leo kipo!!!! TCU mmelala enhe!!!!
 
Mkuu secrete sina uhakika sana mara ya mwisho nilisikia MUM hawako TCU.Kwa maneno rahisi ikiwa hawako huko maana yake wanachukua wanafunzi ambao hawajakidhi sifa za kujiunga University.

Niko tayari kusahihishwa.
aisee !
 
Mimi ni mhitim wa chuo kikuu cha waislam morogor. Nilihitim mwaka 2015 ila sikupata ajir kw kuwa mwalim wa masomo ya sanaa. Kwa wahitim wa mwaka huo tanzania nzima vyuo vyote wamekumbw na sakata la ukosef wa ajir kutoka serikalin(walim wa sanaa) lakin kabla ya mwaka 2015 wahitim wengi waliajiriwa sehem mbalimbal ikiwemo serikal na taasis binafsi. Wengi wanaojiunga na chuo hiki ni fani ya ualimu ambayo idadi yake inafikia zaid ya 95% huku ikifuatiw na fani zingne kama mass com. Law with sharia kw upande wa shahada. Wapo walim wengi tu walioajiriw ktk shule mbali mbail zikiwemo za serkl na shule binafsi. Wakat nafanya field yangu pale Lugoba nlikutana na walim walio hitim MUM pia wapo Kaka zangu na dada zangu walio nitangulia hapa chuo wengi walishapata Ajira. Kama ingekuwa hawapat ajira ni dhahir chuo kisingekuw na wanafunz mpaka sasa. Wapo pia wahitim ambao walijiendelez zaid ktk vyuo mbalimbali ikiwemo udsm, udom, na hata nchi za nje na sasa ni waajiriaw katk vyuo vikuu mbalimbali hapa nchin ikiwepo SUA, MZUMBE, ST. JORDAN pia na MUM kwa hapa moro mana ndipo uzoefu wangu ulipo mana naish hapa moro kw sasa. Kuhusu swala la kudahili wanafunz wasio na vigezo sio kweli, mfano mi binafsi nlijiunga nikiwa na ufaulu wa daraj la pili(DIV II) pia wapo ambao walirudishw kw kukosa vigez na sifa za kusoma shahada. Kila aliedahiliw na anaedahilia MUM amekidhi vigezo na ana sifa ya kusoma chuo chochote Tanzânia na kama wapo ambao watakosa nafasi ni kw baadhi ya vyuo ambavyo vina ushindani mkubw kama udsm na mfano wake na swala hili la ushindan ktka vyuo hivyo kama udsm huwakumba wanafunz wengi wanaomaliza kidato cha sita haijalish atajiunga na chuo gani. Mim narudia kusema nlijiunga na MUM kwa ufaulu wa div. II ila nadir kuw walikuwep wanafunzi waliokuwa na uwez mkubwa darasan japo sikuwez kujua matokeo yao ila nilijiridhisha kuwa pengne walikuwa na ufaulu mzur kunizid. Kuhusu swala la chuo kutokuwa na sifa na hoja kuwa hakitambuliw na tume ya vyuo vikuu pia si kwli, chuo kina sifa nzur ikiwemo miundombinu na mazngira mazur ya kusoma kina lecturers wengi na wakutosha ikiwemo walio ajiriwa moja kwa moja pia part time lecturers kutoka udsm, Sua, udom kw niwajuao. Wapo maprofesa, madocta waajiriw mbali na wale wa part time, pia wapo wenye mastas ambao wanahudum kama assistant lecturers. Na kuhusu TCU ni kwamba chuo hakipokei wanafunz moja kwa moja kutoka TCU na hii hufanya baadh ya watu kudhani chuo hakitambulik kwenye taasis hiyo kubwa inayosimamia vyuo vikuu nchini, Ila chuo tangu awali kilipo kabidhiwa kw waislam kutoka chuo cha tanesco na Rais mstaaf mh. Mkapa kiliomba ridhaa ya kufanya udahili moja kwa moja chuon kuliko kusubir wanafunz watakao letwa na tcu. Msingi wa swala hili ni kuwa, chuo kinaendeshwa na kusimamia maadili ya uislam kama jina lake hivyo chuo kilipendelea kupat idadi kubwa ya wanafunzi waislam ili pia iwe rahisi kusimamia maadili ya uislam kuliko ambavyo ingekuwa kama chuo kingepokea idadi ndogo ya waislam kulinganisha na wakristo kutoka tcu. Hili limefanya idadi ya waislam kuwa kubw kulinganisha na wakristo hivyo imekuw rahis sana kusimamia maadili ya uislam katka chuo. Maadili hapa inajumuisha uvaaji wa mavaz ya stara na heshma kwa pande zote ikiwemo wanaume na wanawake pia lugha chafu pamoja na uzinz. Mfano ukibainika na kuthibitika kuwa una mahusiano ya kimapenzi iwe wanafunz kw wanfunz au walim kw wanafunz nje na ndoa hilo litakufanya usimamishw masom moja kwa moja(kufukuzwa chuo). Na kuhusu chuo kuwa na mataw mbali mbali kama zanzibar pia sii kwli. Mpaka sasa chuo kikuu cha waislam moro hakina tawi hata moja katka nchii wala nje ya nchi ikiwemo na maeneo tajwa ktk uzi huu japo ni ukweli usioshaka kuwa yapo maeneo (viwanja) ktk maeneo hayo zanzbr, tanga, Dar kwa ajil ya ujenz wa mataw ya chuo kikuu cha waislam morogoro.
PENGINE NIMEJITAHID SANA KUKISEMEA CHUO CHANGU NLICHOHITIM KAMA KUNA MAMBO SIJAYATOLEA UFAFANUZI WAWEZA NIULIZA NA NTAKUJIBU KWA KADRI NIJUAVYO PIA KAMA KUNA SEHEM NIMEENDA TOFAUT WAHITIM WA CHUO HIKI MTAJAZIA ZAIDI. UKITAKA KUJUA ZAIDI NIULIZE KW 0657259545 ila muda ni jion mana mchana nahangaikia mkono uwende kinywan.

Kutoka ualimu wa sanaa hadi fundi ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo sasa hivi mkuu ni fundi wa kujenga nyumba za matofali ya kuchoma hapo Morogoro ?
 
Tanga kuna vyuo vikuu 2 vya kiislamu
ZAHRAU
TAMTA
sijui kama bado vitatoa degree mpaka sasa.
Vilikua maarufu sana miaka ya 80
 
Hivyo vitakuwa sio vyuo vikuu. Maana ya vyuo vikuu mpaka viwe vinauwezo wa kutoa degree. Vyuo vikuu Kwa kingereza ni university. Sifa ya university ni kuwa na uwezo wa kutoa hata bachelor degree. Na ikiwezeshwa inabidi kiweze kutoa masters na PhD. Na lazima kiwe na ma PhD holders wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom