MUM ni nini?
Majengo tu hawana, Mungu saidia Tanesco wasijedai majengo yao......Chuo hiki kikuu kilichopo maeneo ya Msamvu Morogoro, kilianzishwa mara baada ya kupewa majengo yaliyokuwa Chuo cha TANESCO pamoja na kuzalisha wahitimu toka enzi hizo na kufungua matawi sehemu kadhaa za pwani ya Tanzania (ikiwemo Zanzibar - Unguja) ni vigumu sana kukutana na wahitimu hao sehemu za kazi, biashara na nyanja mbalimbali za kujenga uchumi.
Tuseme hawa wahitimu wanajiajiri tu kwenye sekta zisizoonekana kwa macho? ama wanaishia ughaibuni ambako ni ngumu kuwa-track?
** Tafadhali usichafue hali ya hewa ni katika kutaka kujua tu ili kupima ubora unaoimbwa na TCU katika vyuo vikuu Tanzania.
Je Wahadhiri wake wanaajiriwa kwa sifa zipi? Je TCU inaweza kwenda kupitia CV zao na kujiridhisha? Bila kupata figisu figisu kwa uongozi wa chuo husika?
Hebu tutajie majina ya hao walioajiriwa UN.Kutokuwepo TCU sio maana yake uchukue hata asie na sifa. Muslim University of Morogoro kimejipambanua kwa TAFITI ZA KIMATAIFA na kinafahamika duniani pote pia Wahitimu wake wengi huajiriwa na Taasisi za kimataifa ikiwemo UN. Hakunaga kama MUM.
Mavazi na physical appearance sio Elimu acha ushamba.Vyuo vikuu hivi vinavyomilikiwa na taasisi za dini ni kazi sana asee unakuta sijui shehe/ulamaa sijui padiri elimu yenyewe ya kuunga unga nae ana cheo huko chuoni sijui Faculty Dean, sijui Deputy Vice Chancellor yaani ukimcheki tu kwa jicho la haraka haraka bora mbunge wetu wa pale stendi ya kwenda nje ya dar.
Ajira za MUM sijawahi kuziona magazetini aseeSifa za kuajiriwa Muslim University of Morogoro zipoje? Je nafasi hutangazwa wazi? Magazetini, kwenye Tovuti?
Vyuo vikuu vinahitaji total overhaul maana wengi wanafanya masikhara.Vyuo vikuu Binafsi viwekwe chini ya UANGALIZI wa vyuo vikuu vya umma kwa miaka 10 kabla ya kupewa MAMLAKA KAMILI. Maana wengi wao ni wababaishaji
Really? Madrassa?Wengi wao huishia kua walimu wa Madrassa
Nani hataki kusoma ? Hizo zilikua sababu za miaka ya zamani kuhalalisha dhulma. Sasa vijana wa kiislam wapo wengi wamesoma hapa nchini na wengine wametudi kusoma kutoka ulaya na marekani na wamefaulu vizuri lakini hawapati kazi ...hawapo katika the equal oportunity....kuna maelfu ya bijana hawa wamemaliza university..hata kazi za polisi ha wapati....
Hskuna anae lalamika hapa..tunajibu joja..iloulizwa.
You're sick in the head!Wengi wao huishia kua walimu wa Madrassa
UN my footKutokuwepo TCU sio maana yake uchukue hata asie na sifa. Muslim University of Morogoro kimejipambanua kwa TAFITI ZA KIMATAIFA na kinafahamika duniani pote pia Wahitimu wake wengi huajiriwa na Taasisi za kimataifa ikiwemo UN. Hakunaga kama MUM.