Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Wahitimu wetu wengi wanajiriwa UN na Mashirika ya kimataifa ikiwemo Google. Si rahis kuwaona wamezagaa nchini kama ilivyo St. Josefu.
 
Kwani mkuu mtu akiwa sister mahali ndo hiyo taasisi ni ya kanisa katoliki?
Nasikitika sana kuona unaupeo mdogo wa u juzi wa haya mambo na pia hutaki kutafuta na kujua u kweli uliofichika hapo ndani yake..Kiufupi libahatika kufanya kazi na biashara na hii taasisi kwa miaka mitano tokea kuanzishwa kwake, ndomana nashangaa sana unapotoka povu na kitu usichokifahamu

Kama unavyosema ndivyo, je na pale MUM msikiti una mkono wake? Kama unatenganisha SJUT na kanisa katoliki kwanini hutofautishi MUM na Uislam?
 
Wanaosema hicho chuo kina hadhi ya kimataifa wananichekesha.
Kweli nimeamini Tanzania ina vichaa wengi.
 
Bado mnaiamini TCU kiasi kwamba chuo kisipokuwepo huko Bas hakina vigezo,mum haiko huko kwa kua kuna sifa za kujiunga na chuo hicho hawataki kupokea kila MTU tuu,kule hakunaga mambo ya u boyfriend na u girlfriend,sijui kuingia darasani Jana ulikesha bar,wanataka MTU commited kwelikweli,awe na discipline kwelikweli,mtoa mada huwez onana nao kirahs kutokana na mfumo Wa ajira Wa nchi hii,pia huwez kukutana nao bar au maeneo ya public wakinadi elimu zao kama wahitimu wengine,wanajali sana ustawi Wa jamii kuliko ustawi wao binafsi ndio maana wengi wanaenda vijijini huko kujitolea kufanya shughuli mbalimbali,na lecturers wao wanatoka nchi mbalimbali,wapo Wa dinj mbalimbali,ukiwa safi kitengo Fulani wanakutumia bila kujali unatoka dini gani,kifupi usiwe na negative view nenda kajifunze utoaji Wa elimu Wa pale,hakijaanza muda mrefu sana ila si muda mtakisikia mambo yake, tuombe uzima tuu
 
Kile chuo kitakuja kufika mbali no suala LA muda tuu,pia tunashukuru umetuthibitishia kua kumbe hizi vurugu zinazofanywa kwenye nchi yetu kama ufisadi uliotukuka unafanywa na wasomi Wa vyuo tulivyovizoea,mbona zamani hata vyuo vingi vya kanisa vilikuwa haviko TCU,walipoanza kuingiza tamaa za kifedha mbele yaani kudahiri idadi kubwa ya wanafunzi kuliko uwezo Wa chuo wakajiunga TCU,huko unachaguliwa yoyote haijalishi tabia yake,kama hamjui TCU inaua vyuo bila vyenyewe kujua,zamani ulikua ukitaka kujiunga na chuo lazima uende chuo husika kuchukua form yake,kwa hyo chuo husika kinamchukua mtu kinayedhani anakifaa,sasa mfumo Wa Leo utamchukua yoyote kwa kua umechaguliwa,hats akiwa panyaroad,MUM wasirudi nyuma waendee na mfumo wao wanaotumia now watakuja kueleweka muda so mrefu mini ilikuwa shabaha yao,wasifanye mambo kwa kumfurahisha MTU,kwani vyuo vyote umewahi kutana na wahitimu wao? Mbona juzi tuu ulikuja Uzi MTU anauliza hivi wapi wanafunzi Wa UDom wanaajiriwa maana hajawahi kutana nao,sio kila usichokiona hakipo,ndo nyie mkienda sehem mnataka jamii ijue kuwa mmeenda shule kwa kuiletea jamii matatizo sio manufaa,mkiwa maofisini mnawaza kujulikana sio utendaji,UDSM ilikuwa na jina sana,Leo heshima yake inashuka kama saruji sahara,hivi vya akina mum,ruco nk ndo vitakuja Ku take over badae,siasa ni sumu ya ustawi Wa kitu chochote isipoabgaliwa vzr
 
Naisubiri iyo siku udsm ikishuka
 
893f516f5cd34cea1cd122680f0ed907.jpg
umeuwa mkuu hapo akajipange upya
 
Back
Top Bottom