Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Unachotakiwa kujua ni ukisoma HGL unaweza soma course gani chuoni na sio kazi gani

Anyway unaweza fanyakazi ya ualimu wa masomo ya History, Geography au Language (English)
 
Kuna Bachelor Inaitwa Bachelor Of Film n Television Ni Marketable Kwa Yeyote Yule Aliyesoma Arts Subjects Ur Welcom.

Sent from my HUAWEI Y560-L01 using JamiiForums mobile app
 
Mi nadhani ungulizia unaweza kusoma nini chuoni mana hiyo ina access na course nyingi sana ambazo unaweza kusomea na kazi zikawa nyingi tuu.
 
NAOMBA MWONGOZO... Bsc of chemistry nikiisoma nitafanya kaz gani mkuu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Utakuwa mkemi
Quality assuarance kama Kwa mkemia mkuu,TBS,EWURA,TFDA

Viwandani haswa viwanda vya vyakula,viwanda vya vipodozi,vinywaji

Kama kuna wa kada hiyo humu watakuwa na info zaidi
 
Wakuu habari..
Ukiwa umepata div two ya 21 na unahitaji kusoma hge kwa mlingano ufuatao H-D G-C na basics mathematics-D je ninaweza kusoma hge kwa shule ya private na pia course gani nzuri kwa hge?

#Ni hiv mm nilikuwa na DDC kwenye PCB na niliwasiliana na baathi ya shule, wengine walisema wanachukua mwisho CCD ila wengine walikubali DDC->Hawa waliniambia wanaangalia uwezo wa ww kumudu tahasusi na hata kama ina AAA huna uwezo hutosoma hiyo tahasusi!!

Hiyvo ili mradi umefaulu don't give up
JUST wasiliana nao na full docment utapa hapa www.suji.ac.com

All the best
 
Mbona inagoma hiyo website..
 
Faida kubwa ya pass zako hzo sio kufanyia Paper ya six tu, katika maisha yako yote soma HGE FURSA ni kama hizi
  • siasa
  • sheria
  • utumishi
  • ualimu wa hasa somo tamu ni uchumi
  • IT
  • mazingira
 
Utakuwa mkemi
Quality assuarance kama Kwa mkemia mkuu,TBS,EWURA,TFDA

Viwandani haswa viwanda vya vyakula,viwanda vya vipodozi,vinywaji

Kama kuna wa kada hiyo humu watakuwa na info zaidi
Ahsante mkuu kidogo nimepata mwanga

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
NAOMBA MWONGOZO... Bsc of chemistry nikiisoma nitafanya kaz gani mkuu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Usithubutu kusoma BSc in chemistry, utakufa njaa nakuapia.
Kwanza kozi ni ngumu na ukimaliza chuo kupata kazi pia ni issue kinyama.

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Wakuu habari zenu, naimani mko swalama kabisa.

Naomba kujua kati ya kozi hizi tatu Procurement,

Banking and finance na Accountancy ipi ni kozi

nzuri katika ajira? Kuajiriwa/kujiajiri. Naombeni

msaada wenu wakuu nina mdogo wangu nataka

nimwombee moja kati ya kozi tajwa apo juu.

Hivyo ningependa kufahamu ni kozi ipi yenye fursa nzuri zaid hasa katika kujiajiri.

Asanteni.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana kwa kuuliza swali zuri.
Nafikiri kozi nzuri ambayo ataisoma na kumpeleka mbali zaidi ni kozi aina ya BANKING & FINANCE.
hakika ataifurahia na kuipenda kozi hii kwa baadaye ataona faida yake kwa upande wa kujiari, ama kujiariwa
lakini ni kozi nzuri mno.
Nashauri asomee hii kozi itampeleka mbali sana kimaisha.
 
Na ni vyema akasoma chuo kikuu cha I.F.M kama upo dar es salaam ndio wanatoa kozi hii kwa ubora zaidi.
 
Back
Top Bottom