STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,734
- 7,353
Kweli kabisa masterTeh kuna vitu vingine ni vidogo lakini vinaweza kufanya mtu aonekane hayupo makini
Sipati picha aambiwe kuandika barua hapo mh
Kweli kabisa masterTeh kuna vitu vingine ni vidogo lakini vinaweza kufanya mtu aonekane hayupo makini
Sipati picha aambiwe kuandika barua hapo mh
Asante sana mkuu olevel nilkuwa na D ya physics na B ya mathperfomance yako ya physics na hesabu ordinary level, inakupa access
[emoji107]Teh kuna vitu vingine ni vidogo lakini vinaweza kufanya mtu aonekane hayupo makini
Sipati picha aambiwe kuandika barua hapo mh
Maombi ni direct chuoniJamani ivi huu mfumo wa kuaapply chuo utakuwa online au mwanafunzi anaenda mojakwamoja chuoni na nyalaka zake naomba kujua kwa wanaofahamu[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Kama chuo gani mweshimiwa???Baadhi ya vyuo vimesha toa form kwenye website zao
You are right.Naomba Nisikutie Moyo No any Acces for any comb without Physics kuchukua Engineering kama Civil, Electrical,Mechanical,Petroleum na zingine!