Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Inategemea na ufaulu wa Mwaka huo upo vipi

Nakumbuka MUHAS 2013 walichukua mwisho 2 ya 10 huo mwaka one za kuhesabika tanzania

Ila kama wamefaulu sana aende hivi vyuo lazima achukuliwe(UDOM,KCMC,BUGANDO)

Dogo kafaulu vizuri japo MUHIMBILI hua wanachukua ONE

Hongera kijana
 
perfomance yako ya physics na hesabu ordinary level, inakupa access
Labda siku hizi. Zamani ilikuwa ngumu sana maana performance ya A level ndio ilikuwa inaamua

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Anapata vizuri tu. St. Joseph, kariuki, na Nje ya nchi. Check na Global education link nafasi za China na India zipo na ada ni hiyo hiyo. Tofauti ni nauli tu na monthly consumables kama Tshs 200,000 tu. Try.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa vigezo vipya ni ngumu, wanataka angalau DCC in PCB respectively.

Sent from my X-TIGI_JOY10 using JamiiForums mobile app
 
yaani hicho kitu hata km magu ndo mshua akiwezekani ,kwa sababu
1. haukusoma physics a level, coz engineering without phyz is nothing
2. labda kidogo ungesoma technical school km ifunda au iyunga kidogo ungefikiriwa .hii kna mwanang imemtokea yupo must now
3. o level phyz ulitinyanga kaz mzeee
ushauri: mzeee kasome tu course nyingine km za uchumi mkuuu
Am out
 
Mdogo wako ama ni wewe mkuu? Kuwa specific "NAPENDA KWELI KUWA DAKTARI" , "MDOGO WANGU". Anyway inategemea na competition mkuu ila kwa vigezo vya udaktari unavyo.ishu ni ushindani tuu kwenye vyuo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Utapata ilo sio MUHAS...iyo D ya Bios imekuchinja

Post sent using JamiiForums mobile app
Wacheni uongo kwann asipate Muhas? Kila mwaka kuna 11 za kumi zinajoin pale MD

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Jamani nauliza mdogo wangu amepata DIV II point 10 (Phy-C Chem - C Bio- D) na napenda kweli kuwa daktari! je atapata admission na mkopo wa bodi?
Mkuu hapa ndo tunaona athari za mfumo wa 2017 kwani ingawapo kijana ana ufaulu mzuri hakidhi vigezo vya TCU kwa program ya udakitari. Labda kama watalegeza kamba kutegemea ufaulu wa mwaka huu. Wanachotaka wao ni

upload_2017-7-15_13-13-7.png


Utaona ingawa ana point 8 (CCD) lakini hana C ya Biology inayotakiwa. Aangalie option nyingine kama BVM, kupitia Clinical officer (ordinary diploma) halafu akifaulu aende MD, kama kuna uwezo vyuo vya nje, degree yeyote nyingine.
 
Ikiwa ni mdogo wako ama ni wewe, haijalishi, Mimi ninawatakia kila la heri. Nawaombea Mungu ndoto hiyo itimie muje mututibu.

Huwa ninawa"respect" Sana madaktari!

sent from servant of God
 
Sifa za kusoma udaktari anazo ila nafasi ya kusoma kwa Tanzania hawezi kupata sababu ya competition ,mwaka jana watu waliokua na sifa ya kusoma udaktari walikua elfu10 na zaidi ila vyuo vyetu vilikua na uwezo wa kudahiri wanafunzi elfu 2 na mia8 hvyo ushindani ulikua Mkubwa na kusababisha wale wenye ufaulu wa juu peke yao kupata.

Kwa ufaulu huo kupata Chuo na kupata Mkopo sidhani kama itakua Rahisi ila ajarbu Vyuo kama Kairuki na Bugando na UDOM na hata Mloganzila kama wakifanya udahili mwaka huu hvyo vingine hata asitie maguu ushindani ni mkubwa sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wacheni uongo kwann asipate Muhas? Kila mwaka kuna 11 za kumi zinajoin pale MD

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app

MUHAS inategemea na mwaka mkuu.Mwaka 2013 kulikua na div one 300 tz nzima walichukua mwisho 10

Kunajamaa angu alikua na 11 PCB hawakumchukua

So inategemea na competion
 
Unaweza kupata kabisa

Muhas wanachukua sana two za kumi ila inategemea na idadi ya wenye division one walioomba

Divion one inapewa kipumbele tu lakini ukibahatika kuchaguliwa unachaguliwa na 11 yako

Vyuo vengine vyote havina shida kwa ufaulu huo

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Wacheni uongo kwann asipate Muhas? Kila mwaka kuna 11 za kumi zinajoin pale MD

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Iyo D ingekua ya Physics sawa...Muhimbili hawachukui D ya Biology mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Iyo D ingekua ya Physics sawa...Muhimbili hawachukui D ya Biology mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
Hii issue inauma sana lakini hili lisitufanye kushindwa kutafsiri guide ya TCU. Uko sawa mkuu na si vizuri kumpa mtu hope wakati tunajua wote TCU wakishikilia vigezo vilivyo kwenye guide yao waliyotoa pamoja na ufaulu mzuri lakini hautakidhi vigezo hivyo.
 
Karibuni vijana...chuo kuna uzuri na ubaya wake....kwa mfano Jana tumeshinda kombe hapa chuo lakini Leo sina hela hata ya kula...na maisha lazima yaendelee
 
Usithubutu kusoma BSc in chemistry, utakufa njaa nakuapia.
Kwanza kozi ni ngumu na ukimaliza chuo kupata kazi pia ni issue kinyama.



Nothing is easier than blaming others for your own problems

Medical representatives almost wote kwenye big pharma industries na distributors ni chemists

TBS ,TFDA,food industries etc etc

Au chemistry gani unayoisemea wewe? Mbona watu huku wanakula mashavu tu

Usimdanganye kijana
 
Mimi nimuhitimu wa 2014 je kwa matokeo haya nnaweza kwenda degree b, d, e au

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Soma official statistics EASTC

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Medical representatives almost wote kwenye big pharma industries na distributors ni chemists

TBS ,TFDA,food industries etc etc

Au chemistry gani unayoisemea wewe? Mbona watu huku wanakula mashavu tu

Usimdanganye kijana
Kupata kazi huko sio simple kama unavyodhani.
Nina rafiki zangu kibao nimesoma nao UDSM, tulikua college moja(College of Natural and Applied Sciences-CoNAS) wanasota kitaa sasa wewe chukulia simple kiasi hicho.

Kama huamini njoo PM nikupe namba zao wengine washaamua kua walimu wa tempo huko sekondari, wengine ndo wamepata kua medical representative kwenye pharmacy za wahindi kama Salama pharmacy pale K/Koo na mishahara ya wahindi unaijua na maisha ya Dsm unayajua.

Nimdanganye huyo ili nipate nini labda??
Usione wachache wamepata ajira ukajua its simple kuingia TFDA au TBS.

Nakupa hint, kuna wakati TBS walitangaza nafasi za quality assurance officer nafasi 12, tukaomba watu 680 na tukaitwa wote kwenye usaili.
Kazi kwako mleta mada

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Back
Top Bottom