Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Habari zenu wakuu naomba kujua kama mtu aliyemaliza form six mfano EGM na anaweza kusoma kozi nyingine kama electrical engineering chuo kikuu. Natanguliza shukran

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Huwezi kusoma mkuu.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Naomba Nisikutie Moyo No any Acces for any comb without Physics kuchukua Engineering kama Civil, Electrical,Mechanical,Petroleum na zingine!
Exactly

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama ni rahisi kupata engineering bila physics. Na hata ukipata utateseka sana.
 
Kuna jamaa yangu alisoma EGM SAIZI yupo sua agricultural engineering
Ni makosa. Hata mimi nilisoma hiyo course SUA lakini tulikuwa tunasoma miaka 2 UDSM tukiwa tunasoma courses za civil na mechanical. Sielewi huyo amekwendaje. Kama hajaforge basi atakuwa alifanya mtihani wa Physics wa A level baada ya kuwa amemaliza form 6.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama ni rahisi kupata engineering bila physics. Na hata ukipata utateseka sana.
Na hii ni Engineering zote maana hizo topics za Physics za A level ndo zinakuja kuwa specialization zenyewe. Kwa mfano kama enginering mechanics wanaisoma discipline zote za engineering. Hata somo kama fluid mechanics pia. Hesabu inakuwezesha kuelewa physics ila physics mdiyo engineering yenyewe!

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ninabyofahamu kwa comb ya EGM issue ya technician ni sio simple agenda

Na ni kozi chache saana zinazo consider matokeo ya O level uingiapo degree level..
Kwa maana ukitumia matokeo ya form for ni kwa ngazi ya cheti na diploma tena kwa baadhi ya course tu
 
Mim nimesoma CBG ,naombeni msaada ni koz gani nzury ya kuchukua
Maana koz za afya tumefutiwa cc wana CBG
Msaada wenu wakuu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Bsc.Education mkuu hapa ajira nje nje baada ya kuhitimu
[HASHTAG]#Thank[/HASHTAG] Me Later

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari..
Ukiwa umepata div two ya 21 na unahitaji kusoma hge kwa mlingano ufuatao H-D G-C na basics mathematics-D je ninaweza kusoma hge kwa shule ya private na pia course gani nzuri kwa hge?
 
Shule ya private haiitaji ubalance kwenye combi muhimu uwe na total ya C 3 katika masomo yote..kozi zipo nying sana za kusoma kozi zote za economics..za accounting..za geography na za kijamii zote pamoja na ualimu

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sasa hge credit tatu zitatoka wapi mm nna DC kwenye HG...vipo hapo?
 
Ukiwa na c Tatu katika masomo yako unasoma HGE alafu jitahidi advance BAM ufanye fresh chuo course nyingi sana ukisoma HGE yaani course zote za biashara, na baadhi za Ardhi, Agribusiness unaweza kusoma

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom