Kama ilivyo hapo juu mimi ni mhitimu kidato cha sita PCB Mwaka jana na nikafauru kwa Daraja la kwanza point 8
Ila nikachaguliwa kwenda Kusoma Bachelor of Science in Nursing
nipo chuo lakn sjaijua vizuri sana hii faculty ya Nursing, mweny ufahamu zaid anisaidie
ahsante
Pole sana , badala ya kusoma makanekia, utawala, uchumi Au vitu vizuri vizuri na points 8.
Ukimaliza utakomo na night na malipo kiduchu na hutapata kwa wakati,