Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Unachotakiwa kujua ni ukisoma HGL unaweza soma course gani chuoni na sio kazi gani

Anyway unaweza fanyakazi ya ualimu wa masomo ya History, Geography au Language (English)


!
!
Sio kweli. Ualimu unahitaji ujuzi wa kudeliva mzee. Kujua tu history au geography au language hakuwezi kufanya mtu akawa mwalimu
 
utafanya kaz nyingi kutokana na koz ambazo unaweza zisoma chuo kikuu.
na zipo nyingi mnoooo
mwanasheria
mwalim wa masomo ya sanaa
muziki
mtaalam wa lugha
utaliii
mwanahistoria
meneja utawala
meneja rasilimali watu etc.

ukitaka zingine ntafute sasa
 
Hongera sana kwa kuuliza swali zuri.
Nafikiri kozi nzuri ambayo ataisoma na kumpeleka mbali zaidi ni kozi aina ya BANKING & FINANCE.
hakika ataifurahia na kuipenda kozi hii kwa baadaye ataona faida yake kwa upande wa kujiari, ama kujiariwa
lakini ni kozi nzuri mno.
Nashauri asomee hii kozi itampeleka mbali sana kimaisha.
Asante mkuu kwa ushauri wako. Hii banking and finance inahusiana hasa na nin?

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa kozi hutegemeaa na malengo ya mhusika
Ndio mkuu ila dogo anapendelea sana mambo ya procurement. .lakini ana wasi wasi na hapo baadae, kwa sababu bado hajafahamu kwa undani matumizi ya hiyo kozi. Ndio maana nikaomba ushauri uku jf ili nimpate kumchagulia kitakachomfaa.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Usithubutu kusoma BSc in chemistry, utakufa njaa nakuapia.
Kwanza kozi ni ngumu na ukimaliza chuo kupata kazi pia ni issue kinyama.



Nothing is easier than blaming others for your own problems
Ok sawa mkuu... lkn unge nishauri koz nzury ya kusoma ambayo nikimaliza ajira znapatikana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwann uliamua kusoma CBG na sio Pcb wala koz nyingine?



Post sent using JamiiForums mobile app
sasa hata akikujibu itasaidia nn
wakt ashasoma???
mambo yamechange hakujua kama yatakuwa ivo cha msingi ni kumsaidia unachokijua zen yy mwenyewe ataamua

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom