IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,844
Mbona unaongea kama umekalia kitu chenye ncha kali???USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Mbona unaongea kama umekalia kitu chenye ncha kali???USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Wewe humo, hebu punguza kiherehere...Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
Siro hana haja ya kuandaa bakora ataweka vijana wake tu ili wawalinde vizuri watu watakaompokea shujaa Lissu kama alivyoweka vijana wake wakati wa Mapokezi ya Hussein Mwinyi ZanzibarKuna haja Sirro aandae bakora za kutosha
Wanazidi kujivua tu nguo humu. Waache tu, sie tunakusanya ushahidi.Inabidi ukaisaidie Polisi. Huenda unahusika kumnanihino malisasi!
Waambie nduguMbona juzi mliwasomba watu kutoka unguja na Tanganyika,kwenda Pemba kumpokea mgombea wenu ili wapemba wamfahamu.
Najua wajua kuwa huwezi kupona risasi 38 bila kuwepo kwa mkono wa Mungu. Mungu tu pamoja na Lissu na lolote mtakalopanga dhidi yake hamtafanikiwa. Amewaonyesha ana atazidi kuwaonyeshaUsimuhusishe mungu na vitu vya kijinga popoyo wewe
Pamoja saana, twende na Lissu, wafu wazikane wao kwa wao.Aliyekufa na faili lake limefungwa. TUPOKEE WALIO WAZIMA.
Utafanya nini sasa? Mbowe tu kapigwa mvua hapo segerea akaishia kuwachangisha mamilioniThubutu ! labda kama mnataka kuvuruga maombolezo
Majina huumba .ushauri wangu binafsi.
"LISU ARUDI AGOMBEE UBUNGE".
kwa urais BADO
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
unaharaka sana yani humjui kiboko ya MEKO? hebu tuliza makalio vizuri upako usambae mwilini mwako vizuri akili ikurudiHii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
Majina huumba .
Mbona hawa watu wana polisi, kwanini waue mtu muhimu kama huyu?Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......
Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
beberu kwani ameshakupanda mara ngapi mkuu??.USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
LISSU atosha kua Rais wa watz hatutaki huyu mkurupukaji aliyeharibu uchumi wa nchi ndani ya miaka 5 tu......ushauri wangu binafsi.
"LISU ARUDI AGOMBEE UBUNGE".
kwa urais BADO
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nami nimewaza kama weweTuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......
Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
ChatoApokelewe kutoka wapi?