DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,641
- 81,544
Huu msiba niwakutengeneza ili kuharibu mapokezi ya lissu.
Ndo mjue ni kwa jinsi gani Mungu ni mkubwaAcheni Mambo ya kisanii
Tangu lini risasi ikapigwa upande wa kushoto maumivu yakatokea upande wa kulia!
Alafu dereva Jana hata kovu!
Ngoja she, tena she na dereva wake ndiyo mtajua nchi haichezewi
Wafuasi wa Lisu na akili imejaa matope!Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......
Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Jiandae tu ndugu yangu, huyu ni raisi wako kuanzia October 2020Huyo ni shujaa wa nyumbani kwenu layman, nenden hata mkapokee bila nguo!!
Amani iwe nanyi wadau wote!
Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.
Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.
Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.
Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.
Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.
Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.
Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.
Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.
No Hate No Fear
Ni vema makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atakapowasili siku ya jumanne 28/7/2020 apokelewe kimya kimya kwa sababu siku hiyo kutakuwa na shughuli ya kitaifa ya kumuaga mpendwa wetu mzee Mkapa.
Ni angalizo tu......Uungwana ni vitendo.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema sio CCM wawe wanagawa nguo kama CCM mnavogawa tshirt na kanga. Wananchi tutatafuta nguo nyeupe na nyeusi kuonyesha support yetu kwa Tundu Lissu na Mzee wetu MkapaHivi hizo nguo zinagawiwa wapi? Nasikia watazigawa CHADEMA - ila sijui watakuwa wapi!
Labda raisi wa Yanga!!Jiandae tu ndugu yangu, huyu ni raisi wako kuanzia October 2020
Tumaini lako ni shetani na ushetaniwana kulitafuta wana kulipata mnakaribishwa
Mimi ni mtanzania lkn moyoni mwangu wala hayupoLissu hategemei mafuriko. Lissu yupo mioyoni mwa watanzania
Mapokezi ni ya amani kama tu ilivyokuwa kwenye mapokezi ya Hussein Mwinyi kule UNGUJA na Pemba bwashee. Hakuna haja ya kubeba maji na vitambaa . Tuaenda kufanya kama wana CCM walivyomfanyia Hussein Mwinyi kule ZanzibarMbona hujatuambia kuwa tusisahau kubeba na Maji ya Kunawa Usoni, tuvae Raba, tuwe wepesi Kukimbia na tuvijue Vichochoro vyote Muhimu?
Si kwa sababu upo miongoni mwa wale waliotaka kumuuaMimi ni mtanzania lkn moyoni mwangu wala hayupo
Aiseee! 🤔 Hivi hujisikii hata haya?Huu msiba niwakutengeneza ili kuharibu mapokezi ya lissu.
Mungu alimponya na risasi zenu ili aje kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020Labda raisi wa Yanga!!
Polepole atakagua mapicha yote ya mapokezi ya Lissu, kufuatilia ma lumumba na hasa waliokuwa wametia nia.Ahahahaha endelea kuwajaza upepo
Naunga mkono hojaAmani iwe nanyi wadau wote!
Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.
Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.
Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.
Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.
Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.
Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.
Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.
Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.
No Hate No Fear
We shall overcomeMungu alimponya na risasi zenu ili aje kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020
Kuomboleza tunaomboleza na Lissu tunampokea tena kishujaa kama nuru iliyotumwa kwetu na MunguHuu msiba niwakutengeneza ili kuharibu mapokezi ya lissu.
Acha kudandia treni kwa mbele! Wakristo wamezoea kuvaa nyeusi na nyeupe msibani hivyo usije ukajifanya baadaye kuwa nilisema.Amani iwe nanyi wadau wote!
Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.
Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.
Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.
Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.
Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.
Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.
Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.
Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.
No Hate No Fear
Kanywe sumu kama umeumia.USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO