Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Umeona kama mimi nilivyoona, ila sisi tutaenda kumpokea Lissu.
 
Amani iwe nanyi wadau wote!

Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.

Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.

Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.

Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.

Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.

Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.

Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.

Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.

No Hate No Fear
Na baada ya hapa Mh Lissu ataelekea moja kwa moja kwenye eneo la msiba na kusaini kitabu cha maombolezo
 
Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
Lissu ni mwananchi mwenzetu na makamu wa mwenyekiti chadema ambaye alijeruhiwa vibaya na watu wabaya wakitaka kutoa uhai wake. Kupona kwake tu ni ishara kuwa huyu Mtu Mungu yupo naye na Mungu ni Nuru kwa iyo ndani ya Lissu kuna Nuru.
 
Ila Mungu ahusishwe katika matendo ya kudhurumu haki ya watu kuishi.
hakuna mwananchi anayedhurumiwa ila wazembe kama nyie mnaoshinda mitandaoni bila kufanya kazi mnataka hela za bure ndiyo mnaona mnazurumwa fanyeni kazi
 
USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Kitendo cha Mungu kumponya kwenye risasi zenu 38 mlizozipiga kwake ili kumuua ni lazima tumuhusishe Yeye katika kila kitu juu yake Lissu
 
Amani iwe nanyi wadau wote!

Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.

Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.

Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.

Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.

Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.

Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.

Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.

Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.

No Hate No Fear

Mungu Tundu Antipas Lissu ni Nani?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni shujaa wa nyumbani kwenu layman, nenden hata mkapokee bila nguo!!
 
Ni vema makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atakapowasili siku ya jumanne 28/7/2020 apokelewe kimya kimya kwa sababu siku hiyo kutakuwa na shughuli ya kitaifa ya kumuaga mpendwa wetu mzee Mkapa.

Ni angalizo tu......Uungwana ni vitendo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Lissu ni mwananchi mwenzetu na makamu wa mwenyekiti chadema ambaye alijeruhiwa vibaya na watu wabaya wakitaka kutoa uhai wake. Kupona kwake tu ni ishara kuwa huyu Mtu Mungu yupo naye na Mungu ni Nuru kwa iyo ndani ya Lissu kuna Nuru.
Acheni Mambo ya kisanii
Tangu lini risasi ikapigwa upande wa kushoto maumivu yakatokea upande wa kulia!
Alafu dereva Jana hata kovu!
Ngoja she, tena she na dereva wake ndiyo mtajua nchi haichezewi
 
Amani iwe nanyi wadau wote!

Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.

Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.

Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.

Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.

Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.

Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.

Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.

Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.

No Hate No Fear
Hivi hizo nguo zinagawiwa wapi? Nasikia watazigawa CHADEMA - ila sijui watakuwa wapi!
 
Back
Top Bottom