Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Ugeni gani unalo jiji???? Kwa taarifa yako nchi karibu zote duniani hakuna ndege inayoingia wala kutoka. Sasa huo ugeni ni upi uzuie mapokezi ya Lissu!!!

Lolote mnalofanya dhidi ya Lissu kumbukeni ndo mnazidi kumuongezea umaarufu na kufanya watu wampende zaidi. Hamjajifunza tu baada ya kumpiga risasi Dodoma???
Hujielewi!

Kwa hiyo huyo jamaa yenu anakuja kwa miguu?

Ndege za wakuu wa nchi zinaruka popote pale au Unafikiri ugeni ninaozungumzia ni wa wanyoa viduku?

Aliyekudanganya Umaarufu ndo kupendwa ni nani? Waulize walioambulia kura 2 wakitegemea kubebwa na Umaarufu.
 
Nguo nyeusi ni alama ya giza au majonzi. Hiyo jumatatu tutakapovaa nguo nyeusi hii itakuwa ni Alama kuwa hatujadharau msiba wa mzee huyu.
Ninakuelewa vyema mkuu 'Lord'.

Kinachonitatiza ni hii dhana ya 'nyeusi' kuwa "giza au majonzi".

Inaeleweka kwa hao wenzetu walioweka hivyo wao waliiona hivyo, kwa nini nasi tukubali kuwa ni hivyo? Kwa nini kwa mfano tusiifanye 'Njano, au huzurungi, au NYEUPE' kuwa alama "giza au majonzi" kwetu?
 
Kwahiyo timu zisizoweza kuchukua ubingwa wa Tanzania zijitoe zikacheze daraja la pili ziiachie simba na yanga? Hivi unajua faida za kugombea urais, unajua hata usiposhinda uchaguzi, wingi wa kura za urais unachangia kupata wingi wa viti maalum vya ubunge? Unajua chochote kuhusu hili, au unaleta siasa mfu hapa jukwaani?

Usimlaumu endelea kumsomesha taratibu ataelewa tu
 
Inamaana huyu mzee hajafa! Na kama amekufa itakuwa CORONA alitoka nayo kwenye mkutano wa CCM Dodoma. Na wengine watafuata kutoka kundi lile.
Kabisaaa....... Inawezekana ni changamoto ya upumuaji. Alibanwa ghafla na bakupata msaada wa haraka
 
Back
Top Bottom