Muonekano wa watoto mapacha 6 kwa sasa

Muonekano wa watoto mapacha 6 kwa sasa

Hii inabidi muwe mnaogopana,ukimuulizia mwenzako kama yuko siku za hatari unahama room kabisa kama sio kulala sitting room.
 
Inapendeza...Mungu azidi kuwabariki hawa wazazi hasa baba
 
HT_six_little_mcghees_mar_140609_4x3_1600.jpg


HT_six_little_mcghees_mar_2_140609..jpg

mcghee-family-uptv-featured.jpg

779_400876566656350_2106268431_n.jpg


McGhees3.jpeg

asante, Kwa hisani ya google
 
hata sasa inaweza kuwa photoshop...
labda sasa tungepata kujua ki-ukweli wanaishi wapi ili kujiridhisha kabisa kuwa ni KWELI
Ni Raia wa Marekani..wanaishi kwao Marekani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom