Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Acha tu big mama...pole ya huyo baba ba huyo mama.Vurugu iliyopo humo ndani ni balaa.
Acha tu big mama...pole ya huyo baba ba huyo mama.Vurugu iliyopo humo ndani ni balaa.
Imagine angepata wengine mimba ya piliDuh kama ni kweli basi hawa ni baba na mama wa mwendokasi, bila shaka huyo mama alifunga na kizazi kabisa.
Asante Mkuu, kuna mtu alituma link, nimeifuatilia tayari..Hao sio wakwanza kuzaliwa sita,wapo wengine tena ni wakubwa kuliko hao,but mzao huo mama hupandikizwa mbegu
Itakuwa State tu huko .Ni wa nchi gani, Mkuu.