Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,516
- 14,244
Hata mimiHii picha mwanzoni nilidhani ni photoshop
Hata mimiHii picha mwanzoni nilidhani ni photoshop
Kama bado huamini ngoja umimbishwe na wewe ndio utaaminiMmmm bado siamini
Anhaa kumbe unafahamiana na huyo baba au ndio umekuwa raymond unatafuta kikikweli kulea kazi mpaka baba amekonda..
nakutafuta wewe.Anhaa kumbe unafahamiana na huyo baba au ndio umekuwa raymond unatafuta kiki
Wewe unaitaje mapacha watatu??Mapacha wakiwa wawili wanaitwa twins,sasa hao sita kwa kizungu wanaitwaje?
Haa haa haaa nisubiri hapo hapo mimi nakungoja hukuunakutafuta wewe.
Habari yotehuamini picha ya chini au juu au habari yote
TripletsWewe unaitaje mapacha watatu??
sawa simama hapo hapo uje na huyo kiki.Haa haa haaa nisubiri hapo hapo mimi nakungoja hukuu
mie najua wakiwa watatu ni triplets sasa kwa hao sita sijui watakuwa "sitalets" hahahaha jamani waliopanda SCHOOL BUS tunaomba msaada kwenye tuta tafadhaliMapacha wakiwa wawili wanaitwa twins,sasa hao sita kwa kizungu wanaitwaje?
Najua kwenu mmezoea kuwaita bajaji,hao sita huitwa sextupletsWewe unaitaje mapacha watatu??
Ni USA Ohio wametengeneza show kwa msaada wa Oprah WinfreyNi wa nchi gani, Mkuu.
SixnsMapacha wakiwa wawili wanaitwa twins,sasa hao sita kwa kizungu wanaitwaje?
Wanaitwa sextupletsMapacha wakiwa wawili wanaitwa twins,sasa hao sita kwa kizungu wanaitwaje?
Hao sita huitwa sextuplets,ila kwa nyinyi mliofukuzwa udom waiteni tuu mwendo kasimie najua wakiwa watatu ni triplets sasa kwa hao sita sijui watakuwa "sitalets" hahahaha jamani waliopanda SCHOOL BUS tunaomba msaada kwenye tuta tafadhali
Acha uongo wewe rafiki yake jesca pombeSixns
Duh kama ni kweli basi hawa ni baba na mama wa mwendokasi, bila shaka huyo mama alifunga na kizazi kabisa.
hahahahahahahahahaaah mie ni darasa la saba ndugu yangu natamani hata ningeenda UDOMHao sita huitwa sextuplets,ila kwa nyinyi mliofukuzwa udom waiteni tuu mwendo kasi
mwishoni utafikiri ni mabasi ya mwendokasiHii picha mwanzoni nilidhani ni photoshop