Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,596
- 61,018
Hatimaye na mimi nimepata watoto mapacha, kwa mchepuko wangu pisi kali. Nilikuwa napambana sana kulenga shabaha za hapa na pale, pamoja na mastaili tofauti tofauti ili nami mwisho wa siku niweze kupata mapacha. Ila nadhani ile staili sijui popo kafanyaje...! inawezekana ndio imenipa haya matokeo. Kwa wewe unayesoma huu uzi, unajisikiaje kutokuwa na mapacha? Mimi nipo pale napata kahawa kidogo ili nitoe baridi.