Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

Kama ilivokua kwa babu seya aliehukumiwa maisha lkn alivikuja jiwe akamtoa basi subilieni atakuja mwingine na kumtoa mnamo 2025 au 2030. Tuendelee kua hai kwa uweza na kudra za mwenyezi Mungu.
 
haya ndio matatizo yenu nyinyi nazichadema, mnashangilia na yakwenu yako motoni, kweli nyie ni big time fools
Mbowe ni mtakatifu na shujaa mkubwa mithili ya akina Mandela dunia yote inafuatilia kwa karibu.
 
Hahaha! Hatari Sana.

Atakaporudi atakuta
1. Taifa Stars imechukua kombe la dunia mara 2.
2. Vichupi ndiyo vazi rasmi bungeni.
3. Ubakaji na kuvuta bangi ruksa.
Nimecheka balaa. Dogo agizia chochote hapo dukani kwa Mangi ntapitia baadaye na Renji yangu kulipia
 
Once more shame on u!!!!hapa sio fb, unapo kuja na povu la kumdhihaki mtu hasa kwenye hoja za kisheria/, jitahidi uwe unajua nini unachozungumzia!!!la sivyo unaonekana bonge la ndezi!!eti gerezani huesabia usiku na mchana hahaaaa!!labda huko mufindi!!lakini duniani kote kifungo anachotumikia mfungwa ni 2/3!!kuna majukwaa kibao ya kutoleana povu, mfano yale ya mipira yanga na simba!!nani ana timu nzuri, hata huna facts unaweza shinda kutokana na uwezo wako wa kubwbwaja, lakini sio huku kwenye facts.
nisamehe mkuu sikuwa najua nimejifunza
 
Miaka ijayo tutapata lirais kama lile pimbi lililopita na litatoa msamaha kwa sabaya
 
Nyie ni wapuuzi tu hiyo miaka 30 ni jumla ya miaka katika makosa mengi aliyokuwa akituhumiwa nayo.Hii miaka yote anaitumikia kwa wakati mmoja hivyo kifungo hapo miaka mitatu tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ww ndio yule mchumba wake nin khaaa?!,kwa jinsi ulivyopunguza hio miaka ila usijali mama cha msingi ww mtunzie
 
Kila mfungwa aliyehukumiwa kukaa jela huwa anasamehewa 1/3 ya kifungo chake.
Kwa hiyo kwa sabaya ataondolewa miaka 10 kwa mfumo huo huo wa kupunguziwa 1/3 ya kifungo chake so basically atakaa gerezani miaka 20.


Hakuna kitu cha kuhesabu usiku na mchana.Siku ina masaa 24 vilevile kama tu uraiani.
Sahihi kabisa
 
34 + 30= ndiyo 54 kweli???
Hebu kuweni watu wenye kufuatitilia angalau hata robo ya michango inayokuwa imetolewa juu ya uzi fulani!!badala ya kurukia rukia mambo, kwani msingekuwa mnauliza uliza mambo ambayo yameshatotewa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom