Acha kucheza na akili za watu na vi round about, yani kati ya maeneo ya yaliyo hovyo kulinganisha na rasilimali zilizopo ni Geita,, mji umejaa vumbi jekundu tu, stand tangu niko mtoto had mara ya mwisho napita hapo mwaka jana ni udongo mwekundu na vijumba chakavu vya mabati, kazi yenu kubandika picha za uchaguzi na mabango ya CCM huku mnakula vumbi,, miji midogo kama katoro imekuwa kwa haraka, Geita iko pale pale, ushamba tu, kwao uchaguzi haujaishaga hadi leo hii...
Huo mnara wamejenga GGM sio serikali.
Na hivyo ni vifaa vya mgodini
Well kapicha kidogo kwa ambao hatujafika tuone.Sehemu zote mvua ikinyesha Tanzania ni hovyo kuanzia mji namba moja DSM hadi wa mwisho Katavi.
Geita unaweza kwenda kuishi Mkoani, Nyamalembo, Mwatulole, Shilabela hata Nyankumbu ambako kuko juu japo bado ni mji wa kawaida ila taratibu watafika
Monument ya mwanamalundi ?Huo mnara uko vizuri
Shida yangu ni hivyo vifaa vilivyoonyeshwa.
Ballmill na hiyo jaw crusher.
Wametaka kureplicate fish monument ya mwanza au askari monument ya moshi.
Hivyo vifaa havina historia, ni technology inayopita.
At one point in future time hakutakuwa na maana ya kuvielezea.
Geita kuna historia nyingi zinazodumu.
Kama Lupondije
Lyambasa
Mwanamalundi
Hata hao waarabu waliojenga misikiti.
Lengo ni zuri ila utekelezaji haukuwa na fikira ya kina