APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 293
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.
Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.