Muonekano wa Geita mpya

Muonekano wa Geita mpya

Naungana na mleta uzi Geita pamebadlika kiasi chake, mim nimezaliwa na kukulia geita toka miaka ya 90s, Elim yang ya msingi nimesoma hapo pia

Kipind hiko hakukua na soko zuri kama linalojengwa sasa,hakukua na maji kama sasa wala miundombinu ya barabara haikua rafk sana. Ilituchua hadi masaa manne kutembea kwa basi la Lushanga au Nyehunge toka Mwanza mpk Geita umbal wa km90 tu

Zaman mji uliishia Maili moja (Gerage ya Lushanga) upande wa kaskazin na Mbugani upande wa kusini ila kwa sasa ni habari nyingne kabisa

Kaz bado ipo kipind hiki ambacho imekua Mkoa maendeleo ya kijamii yanapaswa kufanana na yale tunayo yaona mikoa mingne mipya kama Njombe na Simiyu/Bariadi
Asante sana mkuu
 
Geita kuna maendeleo ya gesti,baa labda na barabara za lami kinyume na hapo hakuna la zaidi ya barabara mbovu na vumbi la rangi ya msimbazi.
 
Geita kuna maendeleo ya gesti,baa labda na barabara za lami kinyume na hapo hakuna la zaidi ya barabara mbovu na vumbi la rangi ya msimbazi.
Wewe ni wa ajabu, huoni mji unavyokuwa kwa kasi kuelekea pande zote za dunia. Wivu tu
 
Wewe ni wa ajabu, huoni mji unavyokuwa kwa kasi kuelekea pande zote za dunia. Wivu tu
Mji gani , Unaokua?
Huu ambao unaishia Buhalahala na Nyantorotoro?
Huu ambao umeme unaishia Mwatulole.

Huu ambao una barabara saba za kiwango cha lami.

Huu ambao stendi yake ni sawa na josho LA ng'ombe.

Huu ambao hauna soko, (Dhahabu na nyanya haciendani)

Geita Bado sana, labda Katoro
 
Yaani huo mnara tu ndo kumebadirika?,wekeni picha za street tuone
 
Mji gani , Unaokua?
Huu ambao unaishia Buhalahala na Nyantorotoro?
Huu ambao umeme unaishia Mwatulole.

Huu ambao una barabara saba za kiwango cha lami.

Huu ambao stendi yake ni sawa na josho LA ng'ombe.

Huu ambao hauna soko, (Dhahabu na nyanya haciendani)

Geita Bado sana, labda Katoro
Nyanyado mkuu, sielewi unasema Geita haikuwi unailinganisha na Geita ya mwaka gani?? Nina sema Geita nikiilinganisha na Geita 2015 na ya Leo 2019
 
Mji wangu niliokaa miaka minne hapo nikisoma GESECO! Hongera kwa mabadiliko makubwa. Enzi zetu mji ulikuwa vumbi jekundu sana! Usafiri ilikuwa saa 10 uko barabarani kutokea Mwanza, leo hii ni kugusa tu!
Hujambo mwanaGeseco mwanzangu?
 
Huo mnara uko vizuri
Shida yangu ni hivyo vifaa vilivyoonyeshwa.
Ballmill na hiyo jaw crusher.
Wametaka kureplicate fish monument ya mwanza au askari monument ya moshi.
Hivyo vifaa havina historia, ni technology inayopita.
At one point in future time hakutakuwa na maana ya kuvielezea.

Geita kuna historia nyingi zinazodumu.
Kama Lupondije
Lyambasa
Mwanamalundi
Hata hao waarabu waliojenga misikiti.

Lengo ni zuri ila utekelezaji haukuwa na fikira ya kina
Mkuu, nami nilishawaza kama wewe, cha kushangaza eti hapo kuna mkuu wa mkoa ambaye ni Injinia, halafu hawezi hata kubuni mambo ambayo yanaweza kukaa kama historia, halafu anakuja mtu anaanza kusifia Ooh sijui magufuri sijui mkuu wa mkoa, sijui mkurugenzi, walioweka mnara wa askari pale posta daresalaam walikuwa na akili sana, sio hawa kuku wa ccm
 
Mji gani , Unaokua?
Huu ambao unaishia Buhalahala na Nyantorotoro?
Huu ambao umeme unaishia Mwatulole.

Huu ambao una barabara saba za kiwango cha lami.

Huu ambao stendi yake ni sawa na josho LA ng'ombe.

Huu ambao hauna soko, (Dhahabu na nyanya haciendani)

Geita Bado sana, labda Katoro
Kumbe mji unaishia buhalahala?! Bas acha ubishi mji wa geita unaendelea kwa kasi, Mara ya mwisho nafika geita 2010 mji ulikuwa unaishia shilabela, sasa kama umeshafika buhalahala unachobisha nini sasa!!
 
Nyanyado mkuu, sielewi unasema Geita haikuwi unailinganisha na Geita ya mwaka gani?? Nina sema Geita nikiilinganisha na Geita 2015 na ya Leo 2019
Hakuna kinachokua hapo, msipende kusifia ili mpate uteuzi, mji hauna hata stendi ya mabasi inayoringana na hadhi yake !!, Kumbuka hapo pamechimbwa dhahabu kwa karibu miaka ishirini sasa, mnawekewa sanamu ya Mill na Crusher mnafurahi, sijui wabongo tunakwama wapi.
 
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.

Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
View attachment 1252597

SIoni kipya hapo, Zaidi ya rangirangi na majani, lami zipo kila kona nchini, vipara vya ardhi vipo kila sehemu nchini hata taa za barabarani vilevile zipo kote.
 
Mji gani , Unaokua?
Huu ambao unaishia Buhalahala na Nyantorotoro?
Huu ambao umeme unaishia Mwatulole.

Huu ambao una barabara saba za kiwango cha lami.

Huu ambao stendi yake ni sawa na josho LA ng'ombe.

Huu ambao hauna soko, (Dhahabu na nyanya haciendani)

Geita Bado sana, labda Katoro
Katoro kuna barabara ngapi za lami? Katoro yako imejengwa bila hata plani wala barabara za mitaa hakuna. Kutoka Buhalahala mpaka nyantorotiro karibu kilometa 15 na wewe unasema mji haukui. Ebu tuambie wewe mji unaotokea tuone jinsi unavyokuwa. Usilinganishe Geita na vitu vya kitoto kama Katoro. Wewe hapo Katoro ndio unapaona mjini . Kweli ushamba mzigo
 
Katoro ni bora kuliko geita
 
sehem kubwa ya maendeleo ktk mji wa Geita ni matokeo ya utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa sasa ( jina lake nimelisahau, lakini ni injinia) jamaa yupo committed kweli kweli na anapiga kazi kimya kimya bila majigambo. wanasiasa na hasa wa CCM wanamkebehi kebehi lakini hajali yeye anachapa kazi tuu
 
Acha kucheza na akili za watu na vi round about, yani kati ya maeneo ya yaliyo hovyo kulinganisha na rasilimali zilizopo ni Geita,, mji umejaa vumbi jekundu tu, stand tangu niko mtoto had mara ya mwisho napita hapo mwaka jana ni udongo mwekundu na vijumba chakavu vya mabati, kazi yenu kubandika picha za uchaguzi na mabango ya CCM huku mnakula vumbi,, miji midogo kama katoro imekuwa kwa haraka, Geita iko pale pale, ushamba tu, kwao uchaguzi haujaishaga hadi leo hii...
 
sehem kubwa ya maendeleo ktk mji wa Geita ni matokeo ya utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa sasa ( jina lake nimelisahau, lakini ni injinia) jamaa yupo committed kweli kweli na anapiga kazi kimya kimya bila majigambo. wanasiasa na hasa wa CCM wanamkebehi kebehi lakini hajali yeye anachapa kazi tuu
Anaitwa Gabriel Robert
 
Back
Top Bottom