Muonekano wa Geita mpya

Muonekano wa Geita mpya

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
259
Reaction score
292
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.

Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
FB_IMG_15673240489222706.jpg
 
Huo mnara uko vizuri
Shida yangu ni hivyo vifaa vilivyoonyeshwa.
Ballmill na hiyo jaw crusher.
Wametaka kureplicate fish monument ya mwanza au askari monument ya moshi.
Hivyo vifaa havina historia, ni technology inayopita.
At one point in future time hakutakuwa na maana ya kuvielezea.

Geita kuna historia nyingi zinazodumu.
Kama Lupondije
Lyambasa
Mwanamalundi
Hata hao waarabu waliojenga misikiti.

Lengo ni zuri ila utekelezaji haukuwa na fikira ya kina
 
Kweli kabisa hata mie nilifika Geita nikashangaa panavyozidi kupendeza, barabara nyingi za mitaa zimewekwa lami, mji unazidi kupanuka na ongezeko la watu ni kubwa sana. Naamini muda wowote mji huu utapandishwa hadhi na kuwa Manispaa. APA CHICAGO
 
Kweli kabisa hata mie nilifika Geita nikashangaa panavyozidi kupendeza, barabara nyingi za mitaa zimewekwa lami, mji unazidi kupanuka na ongezeko la watu ni kubwa sana. Naamini muda wowote mji huu utapandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Asante mkuu nizakale kwa kuliona hilo
 
Geita Ya 2020 siyo Geita ya 2015 ni kweli kuna kazi kubwa imefanyika kwa serikali ya awamu ya Tano,Hongera sana Mhe Pombe Magufuri Rais wetu mpendwa ,hongera sana mbunge wa Geita mjini Kamanda kanyasu Hongera sana mwenyekiti wa halmashauli na madiwani wote ,hongera sana mkurugenzi wa mjini kwa usimamizi bora kabisa wa kazi ,hongera sana wananchi as Geita kwa kuwa wa kwanza kuanzisha soko la Dhahabu pongezi zako mkuu wa Mkoa Luhumbi kwa kuchangamkia fulsa.
 
Lutome safi

Lutome thanks
 
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
Badala ya kuweka sanamu ya ng'ombe au burungutu la almasi mnakwenda kuweka machine ya kale aliyovumbua mjerumani, hivi nyie hamna ya kwenu ya kujivunia?
 
Kweli kabisa hata mie nilifika Geita nikashangaa panavyozidi kupendeza, barabara nyingi za mitaa zimewekwa lami, mji unazidi kupanuka na ongezeko la watu ni kubwa sana. Naamini muda wowote mji huu utapandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Tatizo hakuna Town Centre na baa zao hazina sehemu za kuchajia simu kwa wateja.
 
Mji wangu niliokaa miaka minne hapo nikisoma GESECO! Hongera kwa mabadiliko makubwa. Enzi zetu mji ulikuwa vumbi jekundu sana! Usafiri ilikuwa saa 10 uko barabarani kutokea Mwanza, leo hii ni kugusa tu!
Majangata Mkuu uko sawa kabisa kwa sasa Geita to Mwanza ni kugusa tu pongezi kwa seriali.
 
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
Kuna watu inawauma sana.
 
Sehemu zote mvua ikinyesha Tanzania ni hovyo kuanzia mji namba moja DSM hadi wa mwisho Katavi.

Geita unaweza kwenda kuishi Mkoani, Nyamalembo, Mwatulole, Shilabela hata Nyankumbu ambako kuko juu japo bado ni mji wa kawaida ila taratibu watafika
MkuuTakakeisho uko sawa kabisa sema kuna watu wanaumia na maendeleo ya Mji Geita
 
Back
Top Bottom