Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

Inasemekana hizo simu za Google huwa zinajifia tu zenyewe ikifika wakati flani.
Labda Mkuu Chief-Mkwawa tuelezee hili suala vizuri kama unalifahamu.
 
Kwanza sio zote zinakufa mkuu.

Zinakufa tu zenyewe unalala unaamka simu imezima hairespond chochote.
Hii kesy pia imezikumba simu za redmi hasa redmi 9,9a na 9c pia poco m3 ( chinese version4g) simu inajizima yenyewe ,baada ya kuwasiliana na xiaom service center Kenya nilijibiwa kua simu zina shida ya hardware kwa baadhi ya batch,soln yake ikizima iache more than24 hrs bila kuifanya chochote kisha chukua chaja yenye watt kubwa kuliko iliokuja na simu kisha ichaji inawaka ,ikiwaka washa na tumia ila simu hakikisha haaiishiw chaji,pia usipige any update .Simu hii ndio niliotumia kutype hapa naitumia kama simu yangu ya pili.Upande wa google sijajua ila naitaman nionje ladha ya hio simu nione ina nn cha ajabu pia soln zake sizijui
 
Hili ni tatizo la battery na Calibration, ni tatizo la kawaida Hata enzi za zamani tulikuwa tunatumia kobe kuboost.

Uhalisia Battery linapoandika zero na simu kuisha charge si kwamba battery limeisha kweli chaji, inakuwa imebakia kidogo ili next time ukichomeka charger simu idetect na kuchaji.

Situation yako hapo inakuwa battery limeisha kweli hivyo hata ukichomeka charger haiwaki, hivyo unahitajika kuboost battery.

Pixel yenyewe hata ukibadili battery haisaidii sababu ni Tatizo jengine kabisa.
 
Oooh nimekupata ila hii hutokea ,kwa mfano now chief ina asilimia sabini ,na inatunza kweli chaji ila ukisema uizime kawaida tu haitawaka kabisa ,na ukiibust sasa itaonesha ina asilimia zero ,ila ukichaji na ikajaa sim naitumia mpka zaidi ya masaa kumi online kwa kazi ndogo ndogo .so kwa kua nishaijua homa yake nimeamua kutokuiruhusu imalize kabisa chaji hadi izime kwan itanisumbua
 
Hao jamaa hawana namna ya kuifanyia calibration? Huko Kenya.
 
Pixel 3 mkuu, na zilianza kufa baada ya kuisha warranty. Sijasikia hizi pixel mpya kama Zina tatizo hili.
Kuna jamaa yuko k.koo anauza hizi simu anasema kwa hili tatizo lipo kwa simu zote za Google pixel

Yan unaweza ukawa unatumia ghafla inazima tuu ndo haiwaki tena
 
Sio pixel zote bali generation hio, ila sababu sisi tunanunua sana Refurb ndio nyingi zimejaa huko. 3-5 ilikua na hii issue sana ila 6-7 sijasikia widespread issues.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom