NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
Hivi vimiungu ni chanzo cha umasikini. Usipoviabudu vinaanza kukupelekesha
Binadamu wengine sijui kwa nini wanakua na akili za kushikiwa,ivi mtu aseme yeye Mungu,Astaghfirallah....
Hivi vimiungu ni chanzo cha umasikini. Usipoviabudu vinaanza kukupelekesha
Mungu wa kichagga amepokea Kichapo cha kufa MTU kutoka kwa kasichana kadogo tu kalikochoshwa na Ibada za kishetani.
Binti huyo aliyemharibu Mungu kwa sasa anatafutwa na watu wa jamii yake.
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=251615&stc=1&d=1431574361
Mungu wa kichagga amepokea Kichapo cha kufa MTU kutoka kwa kasichana kadogo tu kalikochoshwa na Ibada za kishetani.
Binti huyo aliyemharibu Mungu kwa sasa anatafutwa na watu wa jamii yake.
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=251615&stc=1&d=1431574361[/QUOTE
Na achapwe tu nakasichana maana tumechoka😀:thumbdown:
Wachaga nao wana "ushenzi" kama huo. These are developed/civilized people in Tanzania
huyo mungu gani hana nguvu ya kumtress,,,hahaahaha, ni mara yangu ya kwanza nasikia hii,halafu siku hizi mbona wachaga wengi wameokoka hayo mambo yanatoka wapi
Naona kuna matumizi mabaya ya Jina la Muumba wetu , MUNGU WETU HAFANANISHWI NA CHOCHOTE yeye ni baba wa dunia na vyote vilivyomo ndan yake na visivyokuwamo , vinavyoonekana na vinavyoonekana
ALFA NA OMEGA , Tafakari ukuu wa MUNGU wetu then ndy uweze kumzungumzia
Amri ya tatu: Usilitaje bure Jina la Bwana MUNGU
Amri ya kwanza; Usiwe na Miungu mingine ila mimi.
Kama yule aliyepigiliwa misumari msalabani na kufa shameless death ..mungu anayepewa adhabu na binaadam . Hehehe
au kama yule mbakaji aliyebikiri vitoto mpaka vya miaka 6 halafu leo hii tunamfata eti ni mtume,mtume gani mbakaji halafu nasikia huko chini alikuwa amebeba mshipa wa kutisha,haahahaaaha!
Well said, ..Hivi unajua pia aliwanyonya romance watoto wa KIUME wa rafiki yake. Wakaandika ...for no TONGUE a prophet kiss shall be Tormented in hell.
fire.
Nimekazia tongue ili usije ukasema ni LIPS.
Mud alikuwa mario
Cc kahtaan
Not civilized at all...
Wanatoana kafara kila kukichaaa
kariakoo wamejazana kwa nguvu za hiyo miingu yao
Na kumufuata huyo jamaa kama master wako ni laana juu ya laana! Alikuwa na makahaba kibao akiwaita masulia! Hivi wenye kujua historia ya huyu jamaa kilichomuua ni nini! Isije kuwa ni wake na makahaba wake!
Mkuu, imani zetu za kiafrika na kizungu, kiaarabu ni zile zile na ukifuatilia formality ya kuabudi ni ile ile kutokana na eneo tamaduni la eneo fualani..
Bahati mbaya imani zetu hazikuwahi kuandikwa mahali (documented) sasa kilichotokea wenzetu kwa kuwa wameshaandika wakatuvuta kuna namna nyingi hata kutumia nguvu kusilimisha watu kwenye imani zao hasa northernna western afrika lakini lengo ni kusamabaza imani zao na kuua zetu ..
Kuna mlolongo mrefu hapa.... ila ukitaka kujua kuna behind the scene kwa nini waruhusu tuite Mungu wao kwa majina yetu ,.. ukweli wanaujua wao ...
potufu ukilinganisha na wazungu au?My dear hiyo ni miungu,Mungu ni 1 tu aliyejifunua ktk kristo Yesu.
Hiyo miungu/imani nyingine zilikuwepo tangu zamani lkn ni potofu!!
Alilishwa sumu na bi mdogo aliyembaka ili kumbikiri. Aorta yake ikawa inakata.
Mpwa mbona unafanana sana na huyo mtuhumiwa? sijui nije nikukamate nikapewe bingo yangu!!!hakuna scienytific hapo ni imani tu .. kwa kuwa waliamini hicho kitu sasa hakipo wanaamini kwa sababu hiyo
sheatani ni nani? na kwa nini miungu yetu muuite shetani?