Ni kosa tatizo tumekaririshwa Mungu kupitia taasisi ya kikikristo na kiislamu jambo ambalo si sahihi.. kuna Mungu wengi sana humu duniani.
Ni kosa tatizo tumekaririshwa Mungu kupitia taasisi ya kikikristo na kiislamu jambo ambalo si sahihi.. kuna Mungu wengi sana humu duniani.
huyo mungu gani hana nguvu ya kumtress,,,hahaahaha, ni mara yangu ya kwanza nasikia hii,halafu siku hizi mbona wachaga wengi wameokoka hayo mambo yanatoka wapi
Mkuu, imani zetu za kiafrika na kizungu, kiaarabu ni zile zile na ukifuatilia formality ya kuabudi ni ile ile kutokana na eneo tamaduni la eneo fualani..Inaonyesha unajua jua kidogo kuhusu imani zetu za Kiafrika hebu dodosoa, maana hizi imani za kizungu na kiarabu ni kama tunawaombea wao na mataifa yao yanakuwa na kuimarika kiuchumi.
Hahaha kweli kuna watu wapumbavu...
Kama mwanadamu anaweza kumvunja na kumuharibu huyo wamwitaye mungu, bado hawaoni tu kuwa huyo mwanadamu ni mkuu zaidi ya mungu wao??
Kama kweli angelikuwa ni mungu, awezaje kuharibiwa na mwanadamu??
Si sahihi kukashifu imani ya mwenzio ... Mungu yupo but which Mungu ... kama unamkashifu mbona anafanikiwa kama wa kwako?ni kweli mkuu, na ubinafsi kiimani nalo ni tatizo, kuona imani yako wewe ndiyo kila kitu wengine hawako sahihi! ni mbaya sana mkuu wangu.
Yesu aliuwawa na nani? Imani ni imani ndugu yangu, wewe unaamini unachoamini ujue kwa mwingine ngumu kumeza.
Kwahiyo unataka kusema wale jamaa na ndugu zetu ambao kitabu (Mungu) cha kikikojolewa wanaanzisha vurugu nao Mungu wao hana nguvu hadi wanafanya vurugu ?.
mkuu imani zetu za kiafrika na kizungu kiaarabu ni zile zile na ukifuatilia formality ya kuabudi ni ile ile kutokana na eneo tamaduni la eneo fualani..
bahati mbaya imani zetu hazikuwahi kuandikwa mahali (documented) sasa kilichotokea wenzetu kwa kuwa wameshaandika wakatuvuta kuna namna nyingi hata kutumia nguvu kusilimisha watu kwenye imani zao hasa northernna western afrika lakini lengo ni kusamabaza imani zao na kuua zetu ..
kuna mlolongo mrefu hapa.... ila ukitaka kujua kuna behind the scene kwa nini waruhusu tuite Mungu wao kwa majina yetu ,.. ukweli wanaujua wao ...
Yesu Kristo aliuawa na Wayahidi halafu alifufuka ili andiko litimie...(alishinda kifo na mauti)...
Na pia haikuwekwa manhunt ya kuwatafuta waliomuua...
Huyo mungu wa hao watu kavunjwa na kuharibiwa na wala hajaweza kujitengeneza kwa upya...
Hivyo mfano wako hausadifu maudhui...
Huyu mtoto ametoa somo zuri sana lakini hawakumuelewa
aiseee poleni sana wachagaa
"Kama mwanadamu anaweza kumvunja na kumuharibu huyo wamwitaye mungu, bado hawaoni tu kuwa huyo mwanadamu ni mkuu zaidi ya mungu wao??"
The rest ni imani