Nimegundua kuwa Mwamedi alijikita sana kwenye agano la kale akasahau kuwa mengi ya agano lile yalikuwa ya kimwili zaidi na siyo ya kiroho! Soma vizuri mwisho wa wengi wa hao unaoquote haukuwa mzuri! Yesu alikuja ili kukamilisha agano la Mungu na Wanadamu! Alikufa akafufuka ni yu hai!
Njoo kwa Yesu ndugu achana nao mnaosema Mswalie Mtume maana hamjui mwisho wake ni upi! Huwezi oa katoto ka miaka 6 halafu wewe babu wa miaka 56 na ukasema umetumwa na Mungu huyu naye mjua! Labda Allah maana huyo mungu wenu anavituko kweli!
Teh teh teh.
Hii ndio silaha kuu wanayotumia makafiri wote.
Niliomba mnionyeshe Expire date ya Agano la kale lkn mpaka leo sijaletewa.
Nikaomba andiko ambalo yesu alikataza agano la kale Lisitumiwe Mpaka leo sijaonyeshwa.
Nikauliza kwanini makafiri hulitumia kwenye mambo yale yanayo wakweza lkn ukiwaletea maandiko yanayoonyesha UNYAMA WAO wanasema Hilo limepitwa na Wakati mpaka leo Jibu sijapewa zaidi ya matusi na maneno ya Mipasho km waimba Taarabu.
Uchafu na Unyama huwa haujifichi ndugu mgalatia.
Hebu Tuonje Hilo Agano lako Jipya tuone je lina Afadhali?
Hebu Tuanze na wale WAIMBA KWAYA (WANAWAKE) Biblia ktk Agano Jipya inawapa Haki zao za Msingi?
1 Corinthians 11:3
But I would have you know, that the head of every man is Christ; and the head of the woman is the man; and the head of Christ is God.
1 Corinthians 14:34-36
Let your women keep silence in the churches: for it is not permitted unto them to speak; but they are commanded to be under obedience as also saith the law. And if they will learn any thing, let them ask their husbands at home: for it is a shame for women to speak in the church.
Ephesians 5:22-24
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as unto the Lord. For the husband is the head of the wife, even as Christ is the head of the church: and he is the saviour of the body. Therefore as the church is subject unto Christ, so let the wives be to their own husbands in every thing.
Colossians 3:18
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as it is fit in the Lord.
1 Timothy 2:11-15
Let the woman learn in silence with all subjection. But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence. For Adam was first formed, then Eve. And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression. Notwithstanding she shall be saved in childbearing.
Titus 2:4-5
Teach the young women to be ... obedient to their own husbands, that the word of God be not blasphemed.
1 Peter 3:1
Likewise, ye wives, be in subjection to your own husbands.
Kwa maandiko haya machache tu AGANO JIPYA linatufunza kuwa MWANAMKE ni km mnyama wa kufuga tu. Hana haki yyt ispokuwa kile anachofundishwa na BWANA WAKE.
Na Mwanamke wa KIKRISTO mwenye Kwenda kinyume na Maamrisho haya AMELAANIWA na Paulo Na yesu wa msalabani.
Sasa nashangaa wanawake mko kimya Hata kuwauliza Hao Maaskofu Kwanini andiko Linawadhalilisha namna hii HAKUNA!! na sababu ni kuwa nyie Mmepigwa marufuku kuuliza maswali yyt kanisani.
Mmeitwa KONDOO kwa sababu KONDOO KAZI YAKE NI KUFUATA TU KILE ALICHOFUNDISHWA.
Halafu bado unadanganya watu hapa.
Ugalatia mzigo Mkuu. Okoa nafsi yako kabla HUJAFA MKAFIRI?
Shauri yako. We endelea kuabudu mzungu tu.
Usije kusema hukuambiwa.